Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1)Bila kuridhiana na wananchi wote hataponya majeraha ya wanachi 2)vyama vya siasa ikiwepo chadema wao sio wawakilishi wa wananchi ambao wengi wao sio hata wanavyama wa vyama vya siasa,chadema...
1 Reactions
2 Replies
139 Views
Anonymous (01f4)
Serikali isafishe eneo la Kata ya Nala iruhusu watu wafuate utaratibu mzuri na mpango mzuri zaidi wa watu 2000 wanaweza kupata kujiajiri, itapata mapato kwa maegesho kwa kila gari linaloingia...
0 Reactions
2 Replies
148 Views
Kijana anayefahamika kwa jina la Ibrahimu Said maarufu kitundu leo Aprili 17, 2026 amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Tabora akituhumiwa kwa kosa la kumuingizia uume...
4 Reactions
25 Replies
530 Views
Je, umewahi kujiuliza mustakabali wa mijadala yetu hapa JamiiForums utakuwaje? Fikiria ulimwengu ambapo kuandika hoja nzito, kufanya utafiti wa kina, na kujibu mada mbalimbali kunakuwa rahisi...
67 Reactions
153 Replies
2K Views
Mahakama ya Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam imemhukumu kifungo cha maisha jela Habibu Nassoro ‘Ngatipula’ (52), mjasiriamali na mkazi wa Kongowe Mzinga baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti...
6 Reactions
19 Replies
481 Views
Wakuu kwema, katika kutafuta riziki, ninatoa huduma ya kusafirisha abiria jijini, magari yangu yote 5 yanaanzia Mbagala kwenda mjini na sehemu nyingine za jiji. Jana saa 6 usiku nimewapigia...
5 Reactions
12 Replies
306 Views
Mathayo 19:29 Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele...
3 Reactions
33 Replies
463 Views
Hakuna wa kumshukuru kwa hili Sana sana Alaaniwe aliyeifungia hii mitandao
6 Reactions
42 Replies
672 Views
Salaam! Ikiwa msaidizi mwenye macho ya tai ameona umuhimu wa chura kupewa macho ya tai Ili kuona sawa sawa, Kitaalamu hili linawezekana? Karibuni 🙏
3 Reactions
6 Replies
201 Views
Naomba kuwasilisha kilio cha muda mrefu cha ukosefu wa maji safi kutoka DAWASA sisi wakazi wa Goba Mpakani Mtaa wa Badilika, yapata sasa mwaka mzima na zaidi hatupati maji, mafundi wanapita...
0 Reactions
5 Replies
169 Views
Nahitaji 5g router ya halotel ya mchongo. Ambae package imemshinda anataka kuuza router anicheki. 0717217520 (whatsapp)
0 Reactions
5 Replies
485 Views
Kaimu Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Wilaya ya Karagwe, Eng. Justo Mtabuzi amesema Kata ya Nyaishozi ina Vijiji vitatu ambavyo ni Nyaishozi, Lukale na...
0 Reactions
0 Replies
143 Views
Utakuta huko TikTok wanafunua mapaja na kufunga Kwa haraka Facebook hivyohivyo kwanini?! Ni stress au ndio ajira mpya ya watengeneza content?
8 Reactions
53 Replies
992 Views
Sisi sote tunajua baadhi ya watu ambao hata kabla ya kumuuliza yeye ameshakwambia kila kitu, hata kukunyima fursa ya wewe kuongea . Waongeajia wengi wanaamini kwa kuongea kwao wanafurahisha ...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Meja jenerali, Gaudence Milanzi akisalimiana na Maafisa waandamizi wa jeshi la Magereza. Hivi ni Magereza pekee au majeshi mengine pia huwapigia salute JWTZ
6 Reactions
221 Replies
58K Views
Anonymous (25ea)
Kero yangu Barabara ndogo ya kwenda Saku Mwisho Kata ya Chamazi - Dar es Salaam, Diwani kaweka matuta ya udogo kuanzia mwezi kwanza ila mpaka sasa hakuna chochote kilichofanyika. Pia, baadhi ya...
1 Reactions
2 Replies
105 Views
Jumapili January 17 2021 Kwa miezi 12 baada ya Ijumaa ya tarehe 2 Agosti, 2001, hakuna jina lililotawala vyombo vya habari kama la Justine Kasusura, aliyedaiwa kupora dola za Marekani milioni...
8 Reactions
138 Replies
17K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKAMATWA WATUHUMIWA WANNE WA WIZI WA MABILIONI YA BENKI YA NBC JIJINI DSM Jeshi la Polisi kanda Maalum ya Dar es salaam linawashikilia watu wanne waliokuwa...
12 Reactions
612 Replies
79K Views
Kwa sababu hii ni taasis inayofanya Biashara, sina haja ya kuivua Nguo, Itoshe kusema; Kulipa wafanyakazi Mishahara katikati ya mwezi unaofuata sio sawa kabisa!. Kama mnafirisika bora mtangaze...
3 Reactions
9 Replies
262 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…