Kwa hali inavyokwenda mgombea wa chadema aliyekwisha jitangaza kwamba ndiye mgombea pekee kupitia chama hicho 2020 sidhani kama anaweza kupata hata kura 200,000.
Cha msingi wajitahidi...
Jengo la Interlace, Singapore.
Naomba kujua, je ni mradi gani au jengo gani hapa Tanzania ambalo ni la kipekee ambalo limebuniwa na wasanifu majengo wa Kitanzania pekee.
Najua katika uhandisi...
Mradi wa Maji unaotarajiwa kuboresha usambazaji wa huduma hiyo muhimu katika maeneo ya Geita Mjini imesuasua kwa zaidi ya miaka 41 na kuzua maswali baina ya wanufaika.
Ujenzi wa Chankolongo...
Afungwa kwa kukiri kumuua mumewe
2007-11-11 10:11:45
Na Jumbe Ismailly, Singida
Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma imemhukumu mjane Asha Ramadhani (43), kufungwa jela miaka mitano baada ya...
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imesema idadi ya meli zinazoingia nchini imeshuka kutoka 1,200 hadi 1,000 huku mapato yanayotokana na biashara hiyo yakiongezeka.
Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo...
Wakuu.
Naomba kweli Makonda walau afanye kazi mikoa yote awe anakaa hata miezi sita tu , maana kila siku anatoa misaada huku wakuu wengine wapo wapo tu kero juu ya kero , au mnaonaje maana Dar...
Nimeona Ktk Azam Tv tukio la Tabora wahanga/akina mama wakiangua vilio..
..imeniuma sana
Viongozii wanasema ramani ni ya toka mkoloni 1958..maana yake kabla ya uhuru..
Wahanga hawa waliachwaje...
Sio jambo baya kupewa certificates baada ya makubaliano yale, ila nadhani ingeleta maana zaidi kama wangepewa baada ya fedha hizo kulipwa. Hiyo ingeleta maana zaidi ya mafanikio.
Hii ni kutokana...
Wakuu, mimi sio siri nimechefukwa na nimechoka sana na huu mwenendo wa sisi wadau wa hii nchi kuiombea njaa saaana hii nchi.
Hivi kwanini tunashabikia saana nchi inapokosea steps katka harakati...
Mkoa wa Kigoma umekaukiwa na sukari kuanzia Ijumaa Mei 20, 2016 na taarifa ya Ofisi ya Biashara ya Mkoa, imesema, Wakazi wa Manispaa ya Kigoma –Ujiji wavumilie hadi mwisho wa mwezi huu wa Mei...
Kwa observation yangu gazeti hili ni kama vile linataka kufa lakini halitaki kufa kifo cha asili yaani kwa kukosa wanunuzi.
badala yake gazeti hili limeamua kufanya makosa mfululizo ili mkono wa...
Nimeona na kusikia mambo kadhaa yakitendwa na viongozi mbalimbali au yakitendwa kwa amri za viongozi wa serikali hii ya JMT.
Mambo mengi ni ya kikatili sana, kama ubomoaji wa makazi ya watu bila...
Dude ni neno linalolenga kuwakilisha kitu ama jitu la kutisha na kuogofya.Kutokana na tabia za shetani,hupenda kujidhihirisha wazi kwa namna ya kutisha pale anapotaka ujue ni yeye halisi.
Dude...
Gold mining in Tanzania gets riskier, and more attractive too
13:58 08 Sep 2017
Just who exactly is all this economic activity for: children near Kibaran's Tanzanian graphite project
New mining...
Habari wana jf? Za siku nyingi?? Leo nimekuja ili tuwekane sawa kuhusu haya mambo ..kwanza niseme tu kwamba mimi ni mkiristo..na nasoma sana biblia hii takatifu(agano jipya na agano la kale)..sasa...
Idara ya uhamiaji mkoani Mtwara, imewakamata wahamiaji haramu 74 raia wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sheria, kati yao 67 walikutwa wamejificha kwenye miti ya mikoko katika...