wanasema "bibi ni kisima cha maarifa" yapi alikupa hadi leo yanakusaidia

wanasema "bibi ni kisima cha maarifa" yapi alikupa hadi leo yanakusaidia

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,576
Reaction score
3,882
Iwe bibi au babu, je ww alikupa maarifa gan yanakusaidia hadi leo?

Mimi alinambia " ukimfanyia jambo jema mwanamke analihifadhi ktk kapu mbaya, ukimfanyia baya analiweka ktk kapu nzuri"

Kifupi ni rahisi zaidi kwa mwanamke kusahau mema ulomfanyia zaidi kuliko kusahau ubaya mdogo ulomfanyia
 
Back
Top Bottom