Salam Wakuu!
Ni wazi kutokana msukumo wa maisha inalazimu watu kubuni njia mbalimbali ili kukabiliana na hali halisi kwaajili ya kupata riziki.
Hali ilivyo pale maeneo ya Mbagala kuanzia Zakhem...
Naomba kuuliza kuna kifimbo fulani kina kama manyoya myeusi kwa mbele hua anakishika sana Raila Odinga kila anapokwenda haswa sehemu za mikutano ya wafuasi wake, amekua anakifanyia ishara kama...
Prof. Mark James Mwandosya amezindua kitabu chake alichokiandika na kukipa jina la "BRIDGE ACROSS THE RIVER NILE". Uzinduzi wa kitabu hicho umefanyika jana Jumanne tarehe 24 Oktoba, 2017 katika...
leo hali nmeona imezidi kuwa mbaya barabarani. jamaa yangu mmoja yupo huko kanambia maboss wao wamekuwa wakali sana. maana nao wanafokewa wapeleke mapato. Hazina hakuna pesa kabisa. wameambiwa...
Amani kwenu wadau
Kila baada ya muda tunasikia watu wanasherekea siku zao za kuzaliwa kwa kufanya sherehe na kuita watu kujumuika nao na kupata chochote kitu ila utamaduni huu unaonekana ni wa...
Amani Ya Bwana Izidi Kuwa Nanyi Ndugu Zangu Wote.
Katika Kuzidi Kuonyesha Upendo Kwa Wake Zetu Nimeona Nitoe Wazo Kuwa Kila Mdau Aweke Angalau
Picha Moja Akiwa Na Familia Yake.
Karibuni.
Akizungumza jijini Mbeya wakati wa mahafali ya kidato cha nne ya Shule ya Sekondari ya St. Malcus, Mama Kikwete aliwataka wasichana kuacha tabia ya ‘kufungua mapaja’ ili kukwepa mimba...
Wakuu.
Waziri mwijage alienda nje kutafuta soko la mazao yetu vipi mbona hakurudi na jibu zuri, maana naona alienda aliporudi akakaa kimya kabisa .
Anataka tumweleweje sisi watanzania.
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya mafia huko pwani amewafukuza kazi watumishi saba kwa pamoja wa halmashauri hiyo.
Vyanzo vya ndani vya halmashauri hiyo vinabainisha kuwa...
Kumekuwa na haka kamsemo kwamba wilaya zote za Kilimanjaro ni matajiri sio kweli jamani bado kuna baadhi ya wilaya mambo sio shwari kabisa serikali bado mnatakiwa kuuangalia vizuri mkoa wote wa...
HATUA ya Kampuni DataVision International kuingia mkataba wa makubaliano na Shirikisho la Sanaa na Ufundi (TAFCA) yatakayowezesha kuwatambua wasanii wa sanaa na ufundi na kuwawekea takwimu sahihi...
Licha ya mfumuko wa bei na gharama za maisha kuongezeka lakini masilahi ya wafanyakazi wa nchi hii yameendelea kuwa duni na kuwafanya watumishi umma kuwa miongoni mwa watu masikini sana.Ikumbukwe...
Habari zenu wadau! kuna jambo hua linanitatisha sana kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza hapo juu. yani watu wenye majini kichwani siyo ya kupanda na watu wenye mafanikio kimaisha hua wanatokea...
Baadhi ya watendaji wa serikali na wanasiasa katika wilaya ya Muleba mkoa wa Kagera wamelazimika kutelekeza familia na nyavu haramu zenye thamani ya shilingi milioni 110 wakihama makazi kwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Oktoba 24, 2017 amepiga simu moja kwa moja katika kipindi cha TanzaniaMpya kinachorushwa na TBC1 na kuchangia mada katika...
Je Trophy hunting inafanyika Tanzania na kama inafanyika simba wetu wapo salama kiasi gani..
Nchi kama Zimbabwe na Botswana kuna simba wengi tena maarufu wameuliwa for fun na wazungu na wengine...
Kwa ufupi
Akitoa ushahidi wake mbele ya Jaji Salma Maghimbi anayesikiliza kesi hiyo katika Mahakama Kuu Kanda ya Moshi, shahidi huyo aliyekuwa kwenye timu ya operesheni, alisema katika mahojiano...