Hum B
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,044
- 1,464
Habari zenu wadau! kuna jambo hua linanitatisha sana kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza hapo juu. yani watu wenye majini kichwani siyo ya kupanda na watu wenye mafanikio kimaisha hua wanatokea kua marafiki zangu sana na hua wananiamini sana?, mimi kijinsia ni ME na wao hua ni ME, mwenye uelewa wa hili jambo naomba anisaidie.ASANTE