Habari Jamiiforum.
Mimi ni mkazi wa kigoma mjini naomba niwashirikishe changamoto yangu inayonisibu maana mamlaka husika imeshindwa kufuatilia hili suala kwa undani zaidi.
Kumekuwa na Ongezeko...
Nahodha wa meli ya mafuta iliyotekwa na iliyokuwa imebeba mafuta ya Iran amesema kuwa kikosi cha majini cha Uingereza kilitumia "kikosi cha ghasia " katika kuiteka meli.
Mapema wiki hii, vikosi...
Baada ya miaka minne ya ndoa yetu mume wangu alianza kubadirika, akawa mkali sana, hata nikimtania ananifokea na kuniambia niache utoto, mara kadhaa nilimwandalia chakula lakini alikataa kula na...
Orodha ya Wanawake kumi (10) mashujaa na viongozi bora kuwahi kutokea Tanzania.
10. LITI KIDANKA.
Mzaliwa wa Singida Tanganyika miaka ya 1860 na mwaka 1903 aliongoza majeshi ya jadi dhidi ya...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, leo Februari 19, 2024 amewasili mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi mkoani humo.
Ziara hiyo pia itahusisha ukaguzi wa miradi mbalimbali ya...
Mnaoenda na wake zenu kwa waganga asilimia kubwa wake zenu wanawazunguka mkiwa hampo majumbani wanaenda kuwatengeneza ili muwanyenyekee akiomba kitu au kukwambia kitu chochote usipinge ukubaliane...
" PEP GURDIOLA ANAZIDI KUTUJIBU KIMYA KIMYA"
Unakubidi uwe Mnafiki au labda tu haujui mpira na taratibu zake,
kuweza kuamua kutokubaliana na Ukweki kuwa PEP GURDIOLA ndio kocha bora kwa sasa...
Ninayopitia mungu ndie anajua
Mniombeee
Nimazito mnoo
Unseen forces
Drained ernegy
Naishiwa nguvu
Nikionacho sicho
Yaan wanakuja watu kwa sura ya mume wangu lakini sio
Yote nimeamua kumuachia...
wa Kata ya Milola, Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Aloyce Andrew, kwa kushirikiana na wananchi wa kata hiyo, wamefanikiwa kumuua nyoka aliyekuwa akifugwa...
Kero yangu ni selcom penalty, Selcom ulikuja kama mtandao (mobile wallet) mbadala kutokana na kuwa na makato madogo.
Ila kwa sasa hali imebadilika umekua ni mtandao wa kukata watu hovyo ukifanya...
nchi 25 zilizostaarabika duniani ziko asia, north amerika na Ulaya, afrika kuna nchi moja tu south afrika halafu waafrika wanataka kufukuza Christians.
jamii yenye ukarimu ni jamii ambayo watu...
Najua wengi ni wahanga.
Weekend karibuni Tujadili hii mada ulifanyaje ulipoona mshahara hautoshi tena na mahitaji ya lazima, madeni yameongezeka.
Hii kada kwa ajili ya waajiliwa mshahara umetoka...
Timu ya Vodacom Tanzania ikiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kukamilisha mabadiliko ya huduma ya M-Pesa kwenda mfumo mpya wa kisasa wa fintech 2.0. Tukio hili limefanyika tarehe 2 Aprili 2026...
Kuna muda mtu unakuwa na mambo mengi hadi unasahau kama upo kwenye "Age go" unaongeza miaka ila ni kama unajiona bado mdogo tu mpaka ukutane na jambo fulani ndio unastuka kumbe umri wangu ushaenda...
waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amesema iwapo atapewa taarifa ya uhakika ya afisa yeyote anayepaswa kuwahudumia...
Habarini wakuu! Natumai mu wazima wa afya.
Kuna jambo nimekuwa nikiliwaza kwa muda mrefu sana hawa viumbe wa kike wanaojiuza ila nashindwa kupata jibu stahiki.
Mimi ni mtu wa kutembea viwanja...