Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimekua nilitengeneza kanuni ya hesabu kwenye bahati nasibu ( nina background nzuri sana kwenye hesabu takwimu na namba ) Kanuni moja wapo imenionyesha matokeo ambayo sikuyatarajia. Hii kanuni...
1 Reactions
16 Replies
371 Views
Anonymous
Goba bana kero ya maji kwenye hii mitaa yetu ni kero kubwa sana jamani, maji tunapata mara moja kwa mwezi na sio ya uhakika, tumeshalalamika mno, kiangazi ndo inakua balaa kabisa wakati huu wa...
0 Reactions
0 Replies
98 Views
March 9 2025 hapa nilikua nakaribia mwaka mmoja wa Aviator hapo nikawa Niko na arosto mbaya sana ya aviator! This game asee,yaliyotokea baada ya hapa ,yamebaili kabisa akili yangu. We keep...
0 Reactions
2 Replies
201 Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma akijibu swali bungeni amesema kuwa Serikali ipo kwenye mazungumzo na Chama Cha Mapinduzi ili iweze kukarababti viwanja vinavyomilikiwa...
0 Reactions
6 Replies
223 Views
Je ni sahihi mzazi kuuza nyumba au mali pasipo kuwaambia watoto wake?
6 Reactions
86 Replies
1K Views
Tangu mwaka jana jukwaa hili lilizuiwa kwa muda wa siku 90 na TCRA. Tulipitia wakati mgumu sana kwa sababu hili jukwaa lina manufaa mengi sana hasa kwa ustawi wa taifa letu. Ni kupitia jukwaa...
2 Reactions
4 Replies
161 Views
Hii sio hadithi wala chitchat. Ni habari ya kweli. Ni ufunuo aliouona Yohana mnamo mwaka 95 BK, alipokuwa katika kisiwa cha Patmo. Mungu alimfunulia mambo mengi mazito, ya kutisha, yatakayotokea...
11 Reactions
25 Replies
409 Views
Nimeamka leo vizuri kabisa. Namshukuru Mungu, ila kuna habari nimeiona naombeni shule kidogo. Hivi nchi yetu ya TANZANIA inachukuaga takwimu au niseme ina watu wazuri katika ujenzi wa takwimu...
3 Reactions
12 Replies
282 Views
Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo amepokea ugeni wa ngazi ya juu kutoka Mtandao wa Viongozi Wanawake wa Afrika (AFLN) katika Ikulu ya Dar es Salaam, ikiwa ni ziara...
1 Reactions
0 Replies
124 Views
ARE YOU HAPPY WITH YOUR LIFE? Swali rahisi… lakini jibu lake si rahisi kwa wengi. Kila siku tunaamka, tunafanya kazi, tunatafuta pesa, tunajenga mahusiano, tunapambana na changamoto. Lakini...
8 Reactions
27 Replies
441 Views
Na Mwandishi Wetu Zaidi ya mastaa na watengeneza maudhui 30 wamesafirishwa kwa ndege binafsi kutoka Dar es Salaam hadi Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kushiriki uzinduzi wa kinywaji kipya cha...
0 Reactions
29 Replies
551 Views
Mahakama ya Wilaya ya Makete mkoani Njombe imechukua hatua kali dhidi ya vitendo vya rushwa baada ya kuwahukumu maofisa wawili wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS), Thadeus Mtui na Florian Kilango...
4 Reactions
15 Replies
315 Views
Mafanikio YOYOTE AMBAYO yanakukuta KATIKA muda AMBAO HUWEZI kuyafurahia hayafai kabisa Bora ubaki HIVYo. Mfano MTU anajifungua mtoto akiwa na umri WA MIAKA 60 na hakuwahi Kupata mtoto KATIKA...
3 Reactions
7 Replies
187 Views
Katika simulizi hii, inaelezwa kuwa Muhammad alipata tukio la kiroho ambalo baadhi ya watu wanalichukulia kwa mtazamo tofauti. Inasemekana kuwa awali, aliwahi kuhisi kwamba ndoto alizokuwa nazo...
5 Reactions
33 Replies
472 Views
Ukitokea mbezi shule kama unaenda goba kumekuwa na foleni kubwa sana pale kwa sababu ya magari yanayotoka makabe na yanayoenda goba hadi kuchukulia baadhi ya magari mengine kuzunguka temboni...
5 Reactions
8 Replies
235 Views
https://youtube.com/shorts/mtMrVj0S8O0?si=ytV4I13fhDCwaHYq
3 Reactions
2 Replies
155 Views
Wakati anazungumza kupitia kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania Gerson Msigwa amesema vyombo...
1 Reactions
6 Replies
190 Views
NYOTA wa Bongo Movies Tanzania ambaye pia anakua kwa kasi kwenye ujasiriamali, Jacqueline Wolper amepiga moyo konde kusimama na bosi wa Benchmark inayoandaa shindano la kusakura vipaji Afrika...
2 Reactions
11 Replies
387 Views
Banungu wa 47 Radio kutoka Kenya ujumbe wenu mmeusikia kutoka kwa Msemaji wa Serikali wa Tanzania? Msigwa Chombo cha Habari kilichopo nje ya Tanzania, kinacho ichafua nchi yetu, na kuwa wa...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Mbabe ni nani? Naona kama vile Iran anawapelekesha puta hawa magwiji wa kila kitu duniani! WHO IS THE WINNER Echolima1
3 Reactions
24 Replies
467 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…