Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu nilifanya application ya passport pale Kurasini mwezi February mwishoni, na nikaambiwa March 24 nifate passport Wizara ya mambo ya ndani! Sikwenda hiyo tarehe na nimekuja kwenda Ijumaa...
12 Reactions
34 Replies
676 Views
Kuna taarifa za kusikitisha sana ambazo zimetoka rasmi leo tarehe 17 Aprili 2026, kutoka Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) zikithibitisha kutokea kwa ajali mbaya ya majini iliyohusisha...
7 Reactions
40 Replies
1K Views
Nimeenda gengeni leo kununua bidhaa, nilikuwa sina mahitaji ya hivyo ni kitu kidogo tu cha shilingi mia mbili, nimempa muuzaji mia tano lakini ananiambia hana chenji. Nikaenda magenge mengine...
4 Reactions
26 Replies
473 Views
Kuna clip inatembea kwenye magroup ya WhatsApp. Anaonekana Said Lugumi akimkabidhi hela Chief Godlove na kumuonyesha garage ya magari ya kisasa ambayo Lugumi anamiliki kama G-Wagon, Bentley etc...
42 Reactions
403 Replies
33K Views
Kwa kipindi cha Wiki 3 sasa Kumekuwa hatupati Huduma ya maji tulipiga simu kwa Dawasa namba ya huduma kwa wateja wanapokea na kusema watatuma mafundi imeishia hapo tukimpigia Meneja amekuwa...
1 Reactions
3 Replies
171 Views
https://youtu.be/V8w-2LzbQSQ?si=EP9MVrdcvS8xs8jJ Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameishukuru na kuitaka taasisi ya...
0 Reactions
0 Replies
133 Views
Kama inawezekana kufanyika baraka kwa wengine ikiwemo maneno ya kinywa chako yawe ya kubariki wengine kuliko kuwadharau na kuwakejeli. UNAHITAJI WATU WA HALI ZOTE KATIKA MAISHA. Heshimu watu wa...
12 Reactions
31 Replies
535 Views
Wao wanaazana wawili au mmoja ila waliowakaribisha wanazaana kama kuku.
2 Reactions
10 Replies
205 Views
Nauliza kupewa mwongozo
1 Reactions
15 Replies
137 Views
Wakuu, Narudia tena watz bado tupo fo fo fo Hivi karibuni niliamua nikazuru boda nikacheki maana sijawai toka nje ya nchi. Nikaamua kwene Border ya kenya na Tz. Nililala Sirari aisee pale ni...
20 Reactions
107 Replies
2K Views
Habari wakuu Leo imetimia miaka 10 tangu nijiunge rasmi na mtandao huu smart japo miaka miwili nyuma nilikuwa nikisoma habari bila kuwa na akaunti. Katika kipindi chote sijutii kwa kuufahamu huu...
22 Reactions
85 Replies
989 Views
Ukistaajabu ya musa......! Mzee ana miaka 102,anatembea bila mkongojo,analima, na kufanya kazi zote ambazo kijana wa alfu mbili anafanya, ana mke na ametoka kujifungua hivi majuzi, kwenye akili...
6 Reactions
50 Replies
700 Views
Bei za kondomu duniani zinatarajiwa kupanda kwa kati ya 20% hadi 30% kutokana na kuvurugika kwa mfumo wa usambazaji (supply chain), kufuatia vita inayoendelea nchini Iran. Kampuni ya Karex Bhd...
1 Reactions
13 Replies
310 Views
Binafs mambo yamenizidia kuwa magum sana, niseme nimefilisika, nimekubaliana na hali, sina ajira tena, sina pesa tena sijui nianzie wapi, huku nyuma familia inanitegemea, mke na mtoto mmoja...
44 Reactions
160 Replies
13K Views
Mimi nipo mkoa Y, na Kuna mwanamke X ninampenda sana. Nimefanya sehemu yangu kumuelezea jinsi ninavyompenda na akakubali. Baada ya hapo nae niliona ameanza kunielewa akawa ananitafuta kila mara...
3 Reactions
48 Replies
705 Views
Ilikua safari nzuri na ya kuvutia sana unforgettable moment. Nilipanda kama mtalii tulipandika njia ya the Northern circuit 10 day tunashukia mweka gate. Labda nikupe hints kidogo ya zone za...
13 Reactions
63 Replies
907 Views
Mh. Innocent Bashungwa wewe ni Mtu makini sana na ndiyo maana kila wizara unayopelekwa unafanya vizuri sana. hongera sana, lakini kuna watu wanakuharibia kazi, tarehe 11 February 2024 mtumishi...
0 Reactions
2 Replies
635 Views
Mzuka wana jamvi ? Unakumbuka hali ya jukwaa la sports na influence ya Simba na Yanga Jf kwa ujumla kabla ya October 29 na kufungiwa ? Ilikuwa mechi za ligi kuu tu watu wanashindana kuanzisha...
8 Reactions
51 Replies
655 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…