Kwenu Clouds,
Naona mmenogowa na pesa za CCM lakini kuweni makini zitawaponza muda sio mrefu.
Kwa sasa ni wananchi wachache wanaoipenda CCM, hilo linajulikana. Sasa muda sio mrefu mtaanza...
Msemaji Mkuu wa Serikali amezungumzia juu ya muswada mpya wa kuunganisha mifuko ya pensheni na kutoa wito kwa watu kuusoma na kuuelewa badala ya kile alichodai...'Kukaririshwa na wasiojua hata...
Dear JF Members
Following this special holiday season for Christmas and new year, I extend my best wishes to all of you. Have a MERRY CHRISTMAS & HAPPY NEW YEAR
Be safe, sound and strong...
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), unatarajia kuongeza mabasi katika mfumo wake kutoka 140 yaliyopo sasa hadi 305 pindi awamu ya kwanza ya mfumo huo itakapokamilika Juni 2018.
Taarifa...
Wanawake wawili wamekamatwa Jijini Hong Kong kwa kusafirisha Dawa Za Kulevya ambazo walitumwa na Mwanamke Raia wa Tanzania waliyemtaja kwa jina la "Margaret" ambaye ni Mkazi wa Magomeni Jijini Dar...
UZAZI: Mwanamke mmoja mkazi wa Mkoa wa Morogoro amejifungua watoto mapacha wanne katika Wodi ya Wazazi ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo.
Mwanamke huyo aliyefahamika kwa majina ya Asha Mashaka...
habari zenu wakuu,
Nilijiunga na Azam Tv baada ya kuona humu JF watu wanaisifia sana. na channel zangu pendwa zilikuwa mbili tu AMC series na AMC Movie. sasa wametoa hizo channel yaani Azam haina...
Dhahiri kwa macho yangu Jana nimeshuhudia baadhi ya Wafanyakazi ya benki ya CRDB tawi la Nanyamba wakivuta Mkwanja kutoka kwa Wakulima wa korosho wa maeneo hayo ili wawasaidie kupata huduma...
Wana BODI nawasalimu!
Kuna kijana wa KiCongo, aged 24-30 nimekutana nae maeneo ya Ubungo. Kijana huyu anaongea kiswahili cha KiCongo, ana ID ya Congo ila hakuwa na Passport.
Ana wiki 2 sasa hapa...
Ugandan rebels have attacked two military bases in the northeast of the Democratic Republic of the Congo (DRC), killing two United Nations peacekeepers and injuring a dozen others, PressTV...
Muhali gani wandugu? Jamani eeeh, je kuna watumishi ambao wamepandishwa madaraja sambamba na kupata mshahara mpya kwa mwezi huu wa December kama ilivyo ahidiwa na wenye mamlaka husika? mana...
.
Na SANGU JOSEPH
.
.
Imekua ni utamaduni wetu wa kawaida kwa Watanzania pamoja na waafrika kwa ujumla kulalamikia watu wanaotusema vibaya au kututendea mambo tusiyoyapenda kuyasikia na yenye...
Wengi wa vijana wa zamani waliosoma mpaka kidato cha sita na wale waliopata kozi mbalimbali za Diploma na shahada walipitia kwanza JKT ili kujenga uzalendo,elimu ya kijeshi kidogo,ukakamavu na...
Jshi la polisi mkoani Mwanza linamshikilia mkazi wa kijiji cha Kanyara wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza kwa kukutwa na nyara mbalimbali za serikali, yakiwemo magamba 40 ya mnyama aina ya...
Huko mikoani kwakweli ikifika saa 4 usiku ni nadra sana kukuta watu wakiwa bado wanapilika; ukiachana na wale rafiki zetu wanaoongoza kwa kulipa kodi (walevi)
Lakini watu wengi huanza kulala...
Yaani ukitazama thread nyingi na ata wachagiaji wengi kwenye mada zao utakuta wakina dada au wanawake wanawacoment kwa Negative sana ,
Sijawahi ona jema ata moja la hao wakina dada likisemwa...
Yawezekana ulikuwa na malengo biashara, kilimo, ufugaji na shughuli nyinginezo za kimaendeleo
Ila ukashindwa kuanza au kuendeleza kutokana na sababu mbalimbali kama vile kukosa mtaji, kukatishwa...
Madini ya Tanzanite yenye thamani ya sh bilioni 1.84 yameuzwa kwenye mnada wa tatu wa kimataifa wa madini uliofanyika mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara.
Kamishna wa madini...