Kiukweli huu mtandao wa Tigo wanazingua sana kwenye huduma zao asee.
Tangu jana nimenunua luku na hela wamekata lakini mpaka sasa Token zangu sijatumiwa .
Ukiwapigia simu ,simu inaiita muda...
Hili jambo mkiliweka wazi waumini na wananchi wakalielewa litawasaidia sana katika utendaji wenu. Nafahamu baadhi ya wamisheni wa kiluteli pale kidugala ambao walikuwa ni wachungaji na walilipa...
HIVI NINI KAZI ZA WIZARA KAMA WIZARA YA MAJI/UJENZI/KILIMO NK.
-------------------------------------------------------------
Nimejaribu kutafakari na kuangalia jinsi Wizara zetu vyingi...
Mahabusu wanaoshikiliwa katika gereza kuu la kisongo jijini Arusha leo wametoa kioja kipya mahakamani Mara baada ya kuteremka kwenye karandinga la magereza wakiwa (watupu )wamevua nguo kama ishara...
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amesisitiza kuwa ataapishwa, kutwaa madaraka na kuunda baraza lake la mawaziri hata kama ikimlazimu kufanya hivyo akiwa mafichoni.
Katika mahojiano...
Tuliokulia vijijini tunafahamu jinsi maisha yetu yalivyo ya shida, wenye hali nzuri huwa wanakula atleast mara mbili kwa siku huku wengi tuliishia kula mara moja kwa siku na bado tunafanya...
Kama mada inavojieleza
Kama umeshawahi kuibiwa basi unauchungu kwa kua mada hii inakukumbusha property zako/zenu.
Hali imekua ngumu mtaani kiasi cha kua wezi wamezidi ujasiri wanarudi mara kwa...
Facebook ni mtandao ambao umetukusanya Watanzania wengi ambao baadhi yetu elimu inayohusu masuala ya privacy hatujaipa kipaumbele au hatujui tufanye nini ili kulinda masuala yetu binafsi...
Ndugu wanajamii forum, ebu Leo tujadili mwenendo wa Elimu ya Bongo na jinsi ambavyo Mahakama wanafunzi wa kibongo wanavyobahatisha maisha ili watoke.
Anayeposti hapa ni Mwalimu wa Biolojia na...
Wakuu na wanasheria mlioko humu naomba msaada kuuliza hivi sheria ya hotel levy kwenye magest bado ipo? Mbona kama nilisikia mwaka jana(2017) bungeni ilifutwa na serikali.
Sheria alikuwa inataka...
Nimeweka salio la 2000 baada ya kama masaa 2 nataka kujiunga naambiwa salio lako halitoshi, kuangalia nakuta 1850. Nimewapigia wameniambia wamekata 150 huduma ya TIGO HADITHI.
Nimeshangaa sana...
Takriban watu 11 wamefariki na wengine sita kujeruhiwa katika ajali ya gari aina ya Nissan Caravan inayofanya safari za Kakonka na Kahama.
Ajali hiyo imetokea jioni saa 12 kuamkia leo maeneo ya...
HABARI NGOA NIANZE NA SIFA ZAKE
1. Alishawahi tembea angani
2. Ana uwezo wa kuongeza account yako ya bank na ikajaa pesa
3. Na kadhalika ila hana ushuhuda zaidi wa hapo tu kanisani na bila...
Habari zenu wakuu
Naomba nisiwachoshe kilichonileta hapa mbele yenu nikuwajuza uwepo wa hawa waganga feki wanaolazimisha wateja kwanguvu.
Muda simrefu nimepokea sms kutoka kwa anaye jiita babu...
Leo nimeangalia thamani ya shillingi ya Tanzania dhidi ya dollar ya Marekani nimegundua kila kukicha inazidi kuporomoka.
Tangu wiki iliyopita kwa ripoti ya BOT ilikuwa wastani waTshs.2241.50...
Kumekuwa na ukimya kuhusu dereva Simon Bakari wa Mhe. Tundu Lissu aliyepata naye matatizo kule Dodoma miezi minne iliyopita na amekuwa akipatiwa msaada wa kisaikolojia huko Nairobi.
Je, naye...
nimekuwa mteja wa kudumu wa CRDB kwa kipindi cha mwaka wa Tano sasa, tangu nimerejea nyumbani Tanzania karibu miezi 3 sasa kuna kazi nafanya ambayo malipo yake ni kwa hundi, sasa kila ninapoenda...
Mimi ni Miongoni wa Madereva wa Malori ya Mchanga Morogoro,
Kero yetu ni hii Kuna ushuru tunatozwa na viongozi wa kata Ya Mindu manispaa ya Morogoro ambao wao Bado wanatumia Risiti za vitabu...
Ndugu, tukiwa tunaingia ulimwengu wa kidigitali si kwa pesa na mitandao tu, ni pamoja na huduma za kijamii na kibihashara.
Napenda kuwajuza ndugu zetu wa Jumia kuwa wakati wanaendelea kutoa huduma...