Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kampuni ya Ontour Tanzania Limited imenunua kwa Sh30.9 milioni meno ya viboko tani 3.5 yaliyokuwa yakipigwa mnada na Serikali baada ya kukusanywa kwa miaka 14. Mnada huo umefanyika leo Januari...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu habari, Mimi ni mtumiaji sana wa mabasi haya yaendayo kwa haraka na nimevumilia sana kero zote za mabasi haya lakini tukio lililonikuta siku ya Alhamisi tarehe 25 January 2017 ni la...
0 Reactions
3 Replies
673 Views
***Wanunuzi wataruhusiwa kuyakagua (Januari 25 na 26) kabla ya mnada ***Watakaovuruga mnada kukiona cha mtemakuni SERIKALI kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii na Mamlaka ya Usimamizi wa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Umofia kwenu wakuu, Wakuu habari za muda huu? Kuna video iko YOU TUBE ikionesha mahojiano ya watangazaji wa XXL ya clouds fm na mwimbaji wa kike RUBY. Katika video hiyo Rubi anaomba radhi...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
App Mpya itakayo tumika kuwaanika watumiaji wabaya wa Lugha adhim ya Kiswahili. Katika App hii uandishi mbaya wa Lugha ya kiswahili utaanikwa hadharani ukiwa ni pamoja na ID za waandishi. Kaeni...
0 Reactions
3 Replies
577 Views
Kwa nini watu wa Haki za binadamu wako kimya, mtoto wa miaka 7 kuwekwa pingu ni sawa kweli?
0 Reactions
38 Replies
9K Views
MATUMIZI MABAYA YA MUDA... SIKU MBILI KUSUBIRI HUDUMA KUSHUGHULIKIWA.. 5A1812TDNXC Imethibitishwa tarehe 1/1/18 saa 8:53 PM Pokea kiasi cha Tsh50,000.00 kutoka kwa 190242 - EMMANUEL MAGUFU BWIRE...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Polisi Kikosi cha Viwanja vya Ndege jijini Dar es Salaam linamshikilia raia wa Nigeria akituhumiwa kupatikana na dawa za kulevya aina ya Cocaine. Christian Ugbechi (26), anadaiwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG)aliyestaafu, Ludovic Utouh amesema mapambano ya rushwa nchini yanakwamishwa na biashara baina ya serikali na sekta binafsi hasa kwenye manunuzi ya...
0 Reactions
1 Replies
849 Views
Leo mida ya saa mbili na nusu usiku kulikuwa na taharuki ndogo maeneo ya magomeni mapipa mkabala na benki ya DTB.Kuna mdada mkimbwende akiwa nadhifu alikutwa ameketi chini huku analia na mkononi...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Watafiti wa masuala ya biolojia kutoka Marekani wamebaini kuwa kupunga mkono kwako ama kujaribu kupiga kofi wadudu kunaweza kupunguza uwezekano wa wadudu hao kukuuma tena. Watafiti hao kutoka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA), imepanga kuruhusu mabasi ya mikoani kufanya safari zake muda wote (mchana na usiku), ikiwa ni hatua za kuongeza tija katika sekta...
16 Reactions
190 Replies
24K Views
Nimemsikia prof Palamagamba Kabudi, akitamka "Tanzania tuna tatizo la kulalamika bila ya kuchukua hatua" SOURCE: taarifa ya habari ITV my take: Iko haja ya sisi waTanzania kuchukua hatua juu ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Waziri wa Ardhi, nyumba na Maendeleo ya Makazi mh. William Lukuvi ametoa hatimiliki 8,000 za makazi kwa wananchi wa wilaya mbili za Nyamagana na Ilemela mkoani Mwanza, zilizotokana na upimaji wa...
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Shilika wa Uzalishaji na Ugavi wa Umeme nchini(TANESCO) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro wamefanikiwa kukamata Vishoka wawili. Kishoka wa kwanza anaitwa Nehemiah Mbedule ambae...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana hivi hata wenzetu Ulaya kwenye ofisi zao kuna viradio na TV kubwa..... Ukiingia kwenye ofisi za umma siku hizi utakutana na TV kubwa kwenye ofisi hasa za...
0 Reactions
8 Replies
918 Views
Leo ni mamilioni ya miaka yamepita Tangu binadamu wa kwanza alipofariki. Leo ni mamilioni ya miaka imepita Tangu nabii adamu na mkewe Hawa walipofariki. Ni mitume na manabii wengi imewapitia miaka...
42 Reactions
158 Replies
27K Views
Wana JF Watu watatu ambao ni wafuasi wa Chadema wamenaswa na Jeshi la Polisi Jijini Dar es salaam wakijiandaa kushambulia ofisi za Chama Cha Mapinduzi. Aidha mbali na kukamatwa kwa wahalifu hao...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
katika ulimwengu wa waamini Mungu, utajifunza kuwa sifa zoote za mazuri mtu afanyayo ni KWA MUNGU. Mungu pekee ndiye anayestahili sifa,kutukuzwa,kuabudiwa,kuenziwa. kwa upofu wa ukweli huu...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi ni sahihi waziri wa mambo ya ndani ya Inchi kumpigia kampeni mgombea ubunge kupitia chama chake
0 Reactions
4 Replies
790 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…