Dah.......
Tafiti zimefanyika ndani ya bongo na wabongo juu ya akili zetu....matokeo kila mmoja anayajua....
Rais Trump hapitishi siku mbili bila kutupa makavu live juu ya akili zetu.....
Hii...
Habari waungwana wa humu jf.
Bila kupoteza muda nakwenda moja kwa moja kwenye mada,
Siku za hivi karibuni kumeibuka style ya wizi kwenye hizi airtel money , tigo pesa au m pesa, eazy money nk...
Habari za leo rafiki yangu?
Kama kuna mwezi ambao unaongoza kwa kulaumiwa na kulalamikiwa kwenye miezi 12 ya mwaka, basi ni mwezi Januari. Watu wengi huwa na malalamiko kuhusu mwezi huu, na hata...
‘Ili mtu aendeshe gari ya shule, sharti awe na umri usiopungua miaka 35 na sharti awe na umri usiozidi mika 60, kinyume na hapo ni kosa na adhabu yake ya awali ni faini ya shilingi laki moja...
Mimi utafiti wangu uliangalia pia historian zao walikotoka.
1. Mh Uhuru Kenyatta alisema mashitaka Yale yalitengenezwa na rivals wake.
Akaahidi kama aliyafanya yeye yatajirudia, na kila MTU...
January 30, 2018
EXCLUSIVE NA MKALIMANI WA NYERERE, MWINYI ANAYESOTEA HAKI MIAKA 13 KORTINI
- Kama kuna Watanzania waliowahi kuonja adha na uchungu wa kudai haki mahakamani kwa muda mrefu huku...
jamani huu mchezo wanaofanya tigo ni mbaya sana tena ni wizi wa waziwazi.
ni hivi:
ukituma pesa kutoka tigopesa kwenda Mpesa, pesa inakwama haiendi Mpesa, halafu ukipiga simu customer care...
habari wapendwa,
nimeona mahali gari imenakshiwa kwa mapambo,
nikaipenda,kuulizia kwa watu nimeambiwa ndio inaitwa vinly print
sasa wakubwa embu nielezeni kwa watu mlioifanya hii business...
Najaribu kuwaza nini Chanzo na hii inaashiria nini? Kama group sio la ujasiliamali tena lenye sheria kali basi mengine yote ni kama jukwaa la udaku na utani. Huu Ni utafiti mdogo wa makundi ya...
Taasisi za Usalama wa taifa ni moja ya taasisi nyeti kwenye taifa lolote duniani ambapo tukiwa nje huwa tunasikia au kuambiwa kwamba wanaofanya kazi humo ni watu wenye mafunzo maalum na huwa...
TAKWIMU ZA ELIMU ZINAHITAJI ZAIDI YA TUNACHOKIONA AU KUSIKIA.
Ni ukweli usiopingika kuwa elimu yetu inahitaji zaidi ya maneno ya ushawishi tunayoyasikia mara kwa mara.
Tusishangae kusikia kuwa...
Marble products are rapidly replacing wood products in a wide array of applications such as table tops, kitchen tops,etc. Tanzania is currently experiencing a boom in the stone extraction...
Wakuu salamu.
Idadi kubwa ya watu wanamiminika kwenda Wilaya ya Meatu Kata ya Mwandoya kwa bibi kupata Ndagu ya utajiri.
Watu kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini, wakiwemo wafanya biashara...
Nijuavyo mimi,vyuma vikikaza vizuri ndipo mashine hufanya kazi vizuri,lakini vyuma vikilegea,mashine huleta matatizo,je ni sahihi kutumia ugumu wa maisha kwa kulinganisha na vyuma kukaza? au...
Nimeshawahi kuona watu kadhaa wakitumia milioni 1 mpaka 5 kusaka ajira. Sasa huyu niliyemuona hivi karibuni kwangu amevunja Rekodi, imetumika Tsh 15,000,000 ili kuisaka ajira fulani.
Niulize tu...
Sisi wakazi wa gongo la mboto na vitongoji vyake limekuwa ni jambo la kawaida kila ifikapo saa mbili usiku umeme unakatika bila sababu maalumu as if mitambo huwa Inapumzishwa suala la...
Wanajamvi poleni na majukumu.Mwishoni wa wiki iliyopita Waziri wa Afya aliwataka wakurugenzi wa halmashauri zote kuwapatia WATUMISHI wapya wa kada ya AFYA mishahara yao ambapo ni miezi mitatu...
Saivi maofisini (hasa ya serikali) pesa ni ngumu sana na ni chungu kuila!
Matumizi ya pesa lazima yatoke juu BoT na ni lazima hicho kipengere kiwe na hela!
Hela ni ya moto! Wakubwa wana woga...