Watu Hao Ni Wa Ajabu Sana
Mafanikio yao kiujumla yanatokana na dhuluma kwa kutumia mfumo dhaifu uliokosa usimamizi bora!
Lakini pamoja na kunufaika na mfumo huo dhaifu watu hao bado tu wamezidi...
Habari zenu wana JF, nipende na mimi kutoa la moyoni kuhusu hili suala linalowahumiza walimu wa sekondari masomo ya sanaa. Kusema ukweli baada ya kutolewa lile tangazo walimu tajwa hawana raha...
Jeshi la polisi kwa kushirikiana na askari wa TANAPA wamewakamata watu watatu wakiwa na nyara za serikali na silaha tatu za kivita katika kijiji cha Kapalamsenga wilayani Tanganyika wakiwa na...
Napenda sana kuangalia documentary nyingi za wanyama hasa miasha yao na namna wanavyopambana kutafuta chakula na kuimarisha himaya zao hasa anapoingia mnyama mwingine katika hinaya zao. Pamoja na...
Huwa najiuliza tu hivi kuna jambo ambalo mtanzania halijui? maana kila jambo ukimuuliza lazima majibu anayo tofauti sana na watu wa mataifa mengine ambao si kila jambo yeye anajua maana kuna wengi...
Mwenye taarifa za simba kama hawa Tanzania tujuzane hapa ili tufike kuwaona na kuwashika kama hivi..
Na inakuwaje simba wametulia kabisa huku jamaa akifanya analotaka....
Huyu ndiye Pepo mama wa matatizo yote.
Matatizo ya magonjwa, kiuchumi, kifedha, kimahusiano Na kadhalika huratibiwa Na Pepo huyu mchafu.
Akikuingia Pepo huyu, atamkaribisha Pepo wa ngono.
Pepo wa...
Jumuiya ya Umoja wa wanawake (UWT) Mkoani Pwani umeahidi kumuunga mkono kwa vitendo Rais John Magufuli kwa kufanya kazi kwa juhudi na maarifa hali itakayowezesha kuiletea maendeleo Jumuiya hiyo...
lets say mwisho kabisa wa dunia utatokea at time 't',je, at 't' + 1s, kutakua na tukio gani? Au muda nao utafika mwisho na kusimama? Na kama muda hausimami, basi hata matukio yataendelea kuwepo...
Mke wa Tito Onesmo Machibya almaarufu Nabii Tito ambaye kwa sasa anashikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Dodoma Agnes Willy amesema kuwa mme wake huyo amefanya matendo hayo ya udhalilishaji...
Kumekuwa na tetesi toka mwaka jana kwamba kiwanda kufungwa kufuatia kiwanda kujiendesha kwa hasara, sasa jana MD kutoka Panasonic japan kawatangazia wafanyakazi rasmi kuwa tarehe 9/2/2018 kiwanda...
Habari wanaJF,
Rais Magufuli afika kuhani msiba wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Robert Kisanga na kusaini kitabu cha maombolezo na kisha kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Jaji huyo...
Leo mida ya saa 4 asubuhi nilikuwa nimepaki gari manispaa ya temeke ,akaja mtu wa makamo kavaa kawaida sana akaniomba nauli ya kwenda kawe nikamjibu sina ,baada ya muda roho ikajistukia nikashuka...
Majeshi mawili ya sehemu moja yakiongozwa na majenerali tofauti yanajiandaa kuivamia kambi ya maadui sehemu fulani. Majeshi haya yameweka kambi karibu na mji wanaotaka uvamia lakini katika sehemu...
Wanunuzi wa zao la Korosho kutoka nchi za Vietnam na India wamesema licha ya Korosho ya Tanzania kuwa bora baadhi ya wakulima wanaingiza udanganyifu kwa kuchanganya Mawe na Mabibo yaliyokaushwa...
Jeshi la Polisi nchini hata kama lina mapungufu yake lazima liheshimiwe. Haiwezekani mtu mimi namuita mhuni kuanza kujibizana hadharani na Askari Polisi kwa kumporomoshea matusi askari...
Ujumbe huu unadaiwa kuandikwa na Profesa Anna Tibaijuka..
Ukiona watu wanahangaika na suala la mavazi hasa kukazania yale yanayoficha mwili wa mwanamke ujue wana matatizo yao wamelishwa kasumba...