Kijana aliyemdhalilisha askari polisi aliyebandua picha za Mtulia lazima akamatwe ili kulinda heshima ya jeshi letu

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Jeshi la Polisi nchini hata kama lina mapungufu yake lazima liheshimiwe. Haiwezekani mtu mimi namuita mhuni kuanza kujibizana hadharani na Askari Polisi kwa kumporomoshea matusi askari anayetekeleza wajibu wake kwa vile tu yeye ni mwanachama wa chama tawala.

Nategemea huyo kijana anayesikika kumdhalilisha askari kama bado hajakamatwa jeshi limtafute na kumfikisha kwenye vyombo husika ili kulinda heshima ya jeshi.

Iwapo polisi kwa kitendo kile itakaa kimya kuna hatari siku moja vijana wa Chama Cha Mapinduzi kwa kiburi cha kulindwa na dola, watajichukulia sheria mkononi na kumnyang'anya polisi silaha kitendo ambacho kinaweza kuhatarisha usalama wa raia wasiohusika.
 
Jeshi la polisi nchini hata kama lina mapungufu yake lazima liheshimiwe, haiwezekani mtu mimi namuita mhuni kuanza kujibizana hadharani na askari polisi kwa kumporomoshea matusi askari anayetekeleza wajibu wake kwa vile tu yeye ni mwanachama wa chama tawala.

We nani mpk useme akamatwe?
 
Mmeshashikia bango tayari, matusi ya sugubkwa rais sawa ya huyu kwa polisi siyo sawa

Pelekeni UN hiyo video msaidiwe kuipigia promo labda mtaambulia kura.

Hivyo ni vitu minor sana kwa siasa za sasahivi kiki hazina nafasi kapigeni kampeni acheni kulialia.

Ninachoamini kabisa hao ni wanachama wa cdm wamejigeuza ccm kulinda mabango ya ccm na kutukana ili kuichafua ccm ndiyo maana unashikia sana bango kwakuwa unajua kinachoendelea hapo,huo ni ujanja wa kizamani.

Nakukumhusha maandamano fulani hivi ya cdm kujibadili kuwa ccm na walipokamatwa wakakutwa na kadi na bendera za cdm.

Kula kichapo na kusema wametumwa ndiyo ilikuja tokea

Nakurudisha
 
Tatizo letu si kwamba vijana wanajibizana na polisi.

Tatizo letu hawajibizani na polisi vya kutosha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom