Wana JF
Miezi kadhaa Nyuma waziri aliyeteuliwa wizara ya Mali asili na utalii Mh Kingwangwala aliingia kwa kasi sana nakumbuka mwezi September au November mwanzoni alitoa agizo na amri kampuni...
Sekta ya usafiri wa anga katika nchi za Afrika inakabiliwa na changamoto mbalimbali zikiwemo kuahirishwa kwa safari, wateja kusubiri ndege muda mrefu, uchache na uchakavu wa ndege, miundombinu ya...
Kampuni ya UmojaSwitch leo imechezaesha droo yake ya bahati nasibu ya Shinda na Umoja kwa wateja wake zaidi ya 32,222 waliotumia kadi za UmojaSwitch kati ya tarehe 1- 8 Januari mwaka huu ambapo...
Mtanzania mmoja mkazi wa Mwanza ambaye ni mlemavu ameshitakiwa nchini Kenya kwa mashitaka mawili ya kunajisi watoto, mmoja ya watoto hao akiwa na umri wa miaka 6, Mshitakiwa huyo amekataa...
Wavuvi haramu wawili wamejeruhiwa vibaya kwa kuvunjika miguu baada ya kushambuliwa na viboko wakati wakivua samaki kwenye Ziwa Burigi eneo la Pori la Akiba wilaya ya Muleba mkoani Kagera hali...
Suala la maji katika mtaa wa shamaliwa kata ya igoma wilaya ya Nyamagana limekuwa tatizo sugu, maji hayapatikani karibu miezi 2sasa na umbali wa kutoka zilizo Pampu za maji hadi mtaa huo ni km 10...
Hello guys.
i think kwa dar, masaki is the best place, tena kwenye street ambayo impepigwa lami, nzuri, na imetulia kimyaaa, jirani hakufahamu, na ww haumfahamu jirani yako. Unatoka zako kimya...
Wakuu naombeni kwa aliyewahi kwenda huko anipe maelezo ya ziada
ni mambo gani ya kutahadhari, sifa na miji na ukarimu wa watu wake
na asisahau kunieleza kuhusu hali ya amani ya nchi hiyo...
Habari wadau!
Leo nimetulia home, ghafla nikapewa taarifa kuna wadudu wadogo weupe wanaotambaa wanatoka kwenye sinki la choo, hii hali imeanza kama wiki hivi, naombeni mawazo hawa wadudu...
MWISHONI mwa mwaka jana, Rais John Magufuli alizindua Hospitali ya Taaluma na Sayansi ya Tiba (MAMC) maarufu kama Kampasi ya Mloganzila, hatua iliyoashiria kuanza rasmi kutumika kwa hospitali...
Mwanamume mmoja katika jimbo la Machakos nchini Kenya ameshtakiwa na kosa la kufanya tendo la ngono na mbuzi wawili.
Inadaiwa kuwa mwanamme huyo aliwaua mbuzi hao wawili baada ya tendo hilo...
Nimeshuhudia baadhi ya vituo vya Polisi Mkoani Geita nilipokuwa huko hivi karibuni na kushangaa sana jinsi wanavyo hudumia wateja wao (sizungumzii wahalifu) katika hali ya vitisho,unyanyasaji na...
Baadhi ya wananchi ambao wamejiunga na bima ya afya katika halmashauri ya Busokelo wilayani Rungwe wamelalamikia wauguzi kwenye vituo vya afya vya halmashauri hiyo kuwabagua wagojwa wanaokwenda...
Wahenga mnayakumbuka haya mabasi wakati wa ujana wetu?......hahahaa kama namuona mh Sugu kwa upande mmoja na laigwanan kwa upande mwingine. Kiukweli old is gold!
Baada ya kuzidiwa na mwenzake katika Ugombeaji wa ' almasi ' kubwa ya Mtaa wa Kariakoo sasa Tajiri wa Mbagala inasemekana ameingia katika ' bifu ' kali na zito la Kibiashara na Tajiri mwenzake...
Mimi ni wakala wa Maxmalipo na Selcom. Kusema kweli huduma za Maxmalipo zimekuwa ni hafifu na dhaifu sana ukilinganisha na Selcom. Mfano unapo nunua umeme kwa njia ya Selcom hadi raha. Ukiandika...
Habari zenu wakuu,
Nikimbie moja kwa moja kwa tatizo langu. Kama nilivyotanguliza kwenye kichwa cha habari kuwa niahitaji msaada wa kiimani nadhani nitaeleweka vizuri na wale ambao tunatofautiana...
Mpaka sasa hivi yeye Tundu Lisu ndiye anayeongea na wala sijasikia official statement yoyote ktk chadema kwamba wako naye na yale alioyaongea ndiyo msimamo wa chadema!
Hivyo nionavyo mimi chadema...