Chumba cha pili wameita mganga, wanadai wanalogwa ili pesa isikae, nyumba nzima inanuka ubani, inadaiwa ubani huo utafukuza jini lenye kunyonya hiyo pesa, sasa hivi ubani umezidi nashindwa kupumua...
Yaani kuna watu wengine sijui wapo vipi kwenye hii dunia, ni hivi wakuu kuna jirani yangu anaduka na nyumba zimepangana kwahiyo mara nyingi ninapokuwa na mahitaji yangu huwa naenda kwake hapo...
Wakati serikali ikijaribu kuuinua mfuko wa NHIF ; Kwa kulazimisha mashirika Makubwa na Makampuni Makubwa ya Serikali kujiunga NHIF ili kuendena na sheria ya kuanzisha mfuko huo mwaka jana mwezi...
Salama JF,
Ninaandika uzi huu nikiwa na masikitiko kwa ndugu zetu waliokosa maarifa na kuzidi kuangamizwa na haya mashetani.
Watumishi hawa wamekuwa matapeli kiasi cha kusababisha umaskini kwa...
IDADI kubwa ya watoto wachanga waliozaliwa kabla ya muda (njiti) wanahofiwa kufariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) baada ya kukosa hewa ya oksijeni.
Hewa hiyo ilikuwa...
Leo clouds naona mmeamua kutuletea vuvuzela la CCM kuja kutuchekesha asubuhi hii huyo mh Msukuma mbunge wa Geita ambaye anajiita msemaji wa CCM na kuna tetesi jamaa kalipia kipindi ili ahojiwe...
Mahitaji ya Wizara ya Elimu ni shilingi trilioni 1.3, sawa na shilingi bilioni 1300 kusimamia elimu nchini kwa mwaka. Hii ni sawa na shilingi bilioni 108 kila mwezi. Leo JPM kasema anatoa...
Hello wapendwa,
Nina swali hapa nahitaji kujua kutoka kwenu, ni kuhusu wachawi na trick, ujanja wanaoutumia hadi kumfanya mtu alale usingizi mzito yaani fofofo!
Naombeni msaada wetu wataalamu...
Wakuu habari za muda huu,
Nimekaa na kutafakari yanayonisibu kwa kweli maisha ni magumu na yana stress sana kwangu mimi mfanyakazi ni hivi, je mwingine asiye na kazi wala dili za maana?
-Mwaka...
Bado kuna vyuo vikuu vinasumbua hapa nchini, Nasikia kule Moshi kuna hiki chuo cha Mwenge hakijawapa wanafunzi pesa ya kujikimu leo siku ya kumi. Hii taarifa ni kweli? Kama kuna ukweli ulizeni...
Zanzibar. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imewafukuza kazi walimu 28 baada ya kugundulika kufanya ubadhirifu wa zaidi ya Sh100.4 milioni.
Akizungumza na waandishi wa habari Ikulu Mjini Zanzibar...
Wanajamvi heshima kwenu, naombeni msaada wa mahali ninapoweza kupata mkopo usiohitaji zamana(security)tafazalini sana maana maji yanazidi unga ndugu zanguni
Ni ajabu Waafrika pia tunalalamika mara Trump yuko sawa, mara sijui tuko hivi, sasa mnamlalamikia nani?
Mimi nafikiri moja kati ya mambo ambayo Mzungu alifanikiwa kwetu ni kutuondolea kujiamini...
Habari za leo wakuu,
Maisha yana changamoto nyingi sana,zingine zinaweza kukutoa kabisa kwenye hari uliyo nayo,au kwenye kitu ambacho ulikuwa umekusudia kukifanya.
Si rahisi sana kumwambia mtu...
Watu wawili akiwemo Mkurugenzi wa Meli ya Lucky Shipping, Issa Haji (39) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na makosa ya uhujumu uchumi wa kupeperusha...
Habari zenu wakuu.
Leo nimepita kituo cha mabasi cha Mbezi Louis almaarufu Mbezi Mwisho. Kama picha zinavyoonyesha, kati kati ya sehemu ya juu na ile ya chini (zinapopaki gari za Gongo la Mboto)...
1. Ukija kijiweni au pub au kwenye nyama choma acha zile stori za sijui umesoma wapi hadi wapi, sijui una madigirii mangapi. Piga stori nyingine, mbona ziko nyingi tu. Kujielezea sana shule yako...