Una mpango wa kusoma kitabu gani mwaka 2018?

Una mpango wa kusoma kitabu gani mwaka 2018?

Neutral catalyst

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2013
Posts
261
Reaction score
147
Usomaji wa vitabu ni jambo zuri sana. mwaka huu 2018 nimeanza na kitabu cha "My father" kilichoandikwa na Juan Pablo Escobar mtoto wa Pablo Escobar kikielezea side b ya maisha ya baba yake ambayo wamarekani hawakutaka dunia ifahamu.
 
  1. mke wangu amezaa na rais - (hakijachipwa ila kiko muhimbili)
  2. ngoma ya ng'wanamalundi
  3. animal farm
 
Snow White and the Seven Unknown Persons (watu wasiojulikana)
 
Back
Top Bottom