KWA UVCCM IMARA, MCHAGUE KHERI DENICE JAMES.
Kwa muda mrefu utendaji kazi wa Jumuiya ya umoja wa vijana CCM (UVCCM) haijaweza ama kufanikiwa kugusa matarajio ya vijana wengi nchini hususani...
Kuna waajiri huwa wanatoa sharti la kwamba muombaji alete nyaraka za mshahara aliokuwa anapokea kwa mwajiri wake wa mwisho. Binafsi hii kitu huwa inanishangaza. Mshahara wa mtu alikotoka mwajiri...
Wananchi tunekosa chama cha kutuwakilisha sisi katika siasa za Tz.Hawa waliopo wanaojiita wapinzani wanalialia sana kila siku oo tumeonewa,tumeibiwa kura na mwisho wanasusa Susa hovyo natoa wito...
Kabla ya uchaguzi wa Zitto alikaririwa akisema CCM imeandaa wapiga kura hewa takkribani 2000. Leo Zitto huyohuyo aliyedai CCM imeandaa wapiga kura 2000, anadai kuwa wapiga kura wameamua hivyo nao...
Habari za mida wana JF wenzangu?
Naomba kama kuna Member hapa jamvini anayeishi katika nchi tajwa hapo juu,tuwasiliane kwa PM tafadhali,
Kuna jambo namba kushirikiana nae japo hata kwa ushauri...
Wakuu heshima zenu!
Mimi ninayeandika Haya naomba kudeclare interest kwamba pia ni Mtumishi wa Serikali yetu. Kinachonisikitisha, ni namna Watu mbalimbali wanavyotoa Kauli za Kuwadharau...
Maelezo ya habari hiyo ni kwamba Novemba 15, baada ya Mugabe kuwekwa kuzuizini na jeshi la nchi hiyo ndani ya makazi yake, alimwaga machozi kumkumbuka Sally na mtoto wao aliyeishi duniani miaka...
Mikoa niliyoitaja hapo imekuwa na matatizo sugu yanayohitaji kiongozi jasiri mwenye uzoefu kama vile RC Makonda.
Matatizo yaliyoko katika mikoa hiyo ni pamoja KILIMO cha bangi, uvamizi wa hifadhi...
WATU milioni saba hufariki dunia kila mwaka kutokana na matumizi ya bidhaa zitokanazo na tumbaku hususan uvutaji sigara, imeelezwa.
Takwimu hizo ni matokeo ya utafiti wa Shirika la Afya Duniani...
Katika mradi wa Kawe' wa NHC' 711 ambao unajengwa na kampuni ya ESTIM" huyu raia wa kigeni kutoka India jina lake ni Bipin Vekariya'
Huyu muhindi amekua akitoa aina ya maneno ya kashfa juu ya...
“Afya njema ni msingi mkubwa wa maendeleo katika taifa. Nchi ambayo wananchi wake hawana afya njema kamwe haiwezi kupata maendeleo, hii ni kwa sababu mwananchi asiye na afya njema hawezi kushiriki...
Wakati wafanyakazi wa Wakala wa Barabara (Tanraods) wakiendelea kuweka alama kwenye nyumba zinazotakiwa kubomolewa kupisha upanuzi wa Barabara ya Morogoro, wakazi wanaoishi kati ya Ubungo na...
Tukio hili liko mubashara ITV muda huu, ukuta umeshabomolewa na sasa anasubiriwa Waziri aje kutoa mazagazaga yake ili ofisi yake na Naibu wake zipigwe chini. Source ITV breaking news!
Habari JF
Mimi ni mtumishi wa afya kama Lab scientist katika hospitali X ya mkoa Y. Hivi karibuni nimehitimu degree ya uzamili (masters) katika fani ya tafiti za afya yaani Clinical research...
Habari wadau..
Magufuli anafanya mengi sana. Nimependa wazo la kuunganisha mifuko ya hifadhi ya jamii, maana ilikuwa mingi bila sababu ma ceo wengi huku kazi ni zile zile...
Kuna ujinga mwingine...
huyu mzee alikuwa ni mtaalamu sana wa kutafsiri mikanda yaan movie, kipindi hicho ukiwa umetumwa sehem au unapita karibu na kibanda ukasikia sauti ya mkandara akisema "KATIKA JIJI LILE KUU LA...
samahani wakuu nina shida ya tv nimeona matangazo kupatana kuhusu jamaa flan wapo zanzibari naomba mawazo kwa mwenye uzoefu na kuagiza mizigo toka huko.
Natumai asilimia 80 ya wana jf humu ndani ni wanachama wa
Makundi mengi ya kijamiii
Ninaposema makundi ya kijamiii
Hapa nazungumzia ma group
Ya whatsapp ambayo upo added
Vyama vya kufa na...
Ndugu wana jf ninawasalimu wote na kuwapa pole/hongera
kwa majukumu ya kulijenga taifa letu.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Kufuatia mjadala unaoendelea juu ya fao...