Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Na Mwandishi Wetu, Kibaha-Pwani. Imeelezwa kuwa Tume ya Taifa ya Mipango imekamilisha nyenzo zote za utekelezaji wa Dira 2050 ambazo ni Mpango Elekezi wa Maendeleo wa Muda Mrefu...
0 Reactions
0 Replies
98 Views
Anahutubia sasa kwa Kiingereza halafu Kinafiki na kwa kutudharau anauliza ninyi mnanielewa kweli? Na Mipopoma iliyomualika inaitikia ndiyooooo.....wakati kila nikiziangalia Nyago (Sura) za 95% ya...
2 Reactions
5 Replies
233 Views
Wakuu salaam, Awali ya yote nawashukuru wana Jamii forums wote kwa michango yenu na mawazo yenu yakinifu yanayo toa elimu, ushauri na msaada mkubwa sana kwa jamii. Mimi ni kijana wa kiume mwenye...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
GENTAMYCINE najifunza kuhutubia ila nina tatizo la Kukohoa kohoa mbele za Wageni hivyo ninataka kuacha Kukohoa.
2 Reactions
0 Replies
79 Views
Kitu ambacho kinaweza kumfanya mtu aje ajute ni kufikiri mtu mbaya anaweza kubadilika , ukishamtambua mtu ni mbaya / adui yako take action fast otherwise u will be screwed first
8 Reactions
23 Replies
338 Views
Wakuu nimehamishwa kikazi na kupelekwa halmashauri ya wilaya ya simanjiro iliyopo mkoani manyara lakini ni sehemu ambayo sijwahi ata kukatiza Je sehemu hiyo ikoje kwa wanaoifahamu Kiuchumi...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Mwili wa mtu mmoja aliyekufa umekutwa kwenye daraja salender mchana huu. Tayari Kikosi cha Jeshi la Uokoaji Zimamota limeshafika eneo la tukio.
7 Reactions
55 Replies
1K Views
OFISA mmoja wa serikali anadaiwa kujipatia kiasi kinachokadiriwa kufikia shilingi bilioni 4, kwa njia ya rushwa. Anayepewa tuhuma hizo ni Ofisa Uvuvi Msaidizi Mkuu, anayesimamia Wilaya ya Bunda...
2 Reactions
10 Replies
453 Views
"Waziri amezungumza hapa sijaona amezungumza bajeti ya Arena...ndugu yangu Makonda leo, kama mama anakuombea Dua nyumbani, mshahara wako naondoka nao...Mwana FA mshahara wako naondoka nao...ndugu...
2 Reactions
4 Replies
200 Views
Wananchi hawa wa Mbagala Rangitatu, Dar es Salaam, wamedai kubomolewa makazi, vibanda vya biashara zao na Manispaa ya Temeke wakati kesi iko mahakamani, tukio hilo limetokea Mei 2, 2026. Wananchi...
1 Reactions
2 Replies
251 Views
Katika enzi ya kisasa ya kidijitali inayobadilika kwa kasi, ujumuishaji wa akili bandia (AI) katika tasnia umesababisha mabadiliko ya uandishi wa habari . Teknolojia za AI zinaunda upya jinsi...
0 Reactions
2 Replies
455 Views
Na Mwandishi Wetu, Dodoma SERIKALI imeanza kuvuna matokeo ya mageuzi ya kidijitali katika sekta ya habari baada ya Waandishi wa Habari 3,357 kuthibitishwa na kupatiwa ithibati ndani ya kipindi...
0 Reactions
1 Replies
110 Views
Habari, maeneo mengi ambayo taa ziliwekwa kwa Mitaa ya Tandale, Taa zake Nyingi zimekufa haziwaki. Ni taa ambazo zimewekwa tangia enzi za Magufuli..
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Waamini Mungu walianzisha madai yao ya uwepo wa Mungu, Sasa badala wayathibitishe wao wenyewe. Wanataka Sayansi iwathibitishie. Kwani Sayansi ndio ilileta habari za huyo Mungu? Au ni nyie...
18 Reactions
259 Replies
2K Views
Shikamoni wakubwa.. Vijana wenzangu mambo vipi.. Wakuu Nina miaka 22 elimu yangu niliishia form 4. Baada ya kumaliza 2022 nimekaa mtaani sana nikaona si vyema nikakaa bila fani yoyote. Mwanzoni...
2 Reactions
22 Replies
481 Views
Mei 3, ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Habari... Katika ulimwengu unaozidi kujazwa na taarifa bila kikomo, ambapo mitandao ya kijamii inachochea hofu, chuki na migawanyiko kwa kasi, na akili...
0 Reactions
0 Replies
74 Views
Hivi Tanzania nzima mwana Chuo (Msomi) anayehitaji Msaada wa ama Serikali au Wizara ni huyu tu peke yake? Hivi ni mara ngapi tunaona na tunajua kuwa Waandishi wa Habari wengi nchini Tanzania...
1 Reactions
3 Replies
196 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…