Mods tafadhali msihamishe au kuunga uzi hili ni jambo linalolenga jamii kwa ujumla
Kwa masikitiko makubwa, nimewahi kuzika baadhi ya pets wangu kwa namna yangu mwenyewe. Kwa kweli nilitamani sana...
Mahakama ya kijeshi nchini China imewahukumu kifo mawaziri wawili wa zamani wa ulinzi baada ya kupatikana na hatia ya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka. Hukumu hiyo ilitangazwa Alhamisi...
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema hakujua kuwa alikuwa anakutana na tajiri wa Zimbabwe Wicknell Chivayo, anayesakwa nchini Afrika Kusini kwa tuhuma za utakatishaji fedha.
Habarini wakubwa.
Kulingana na mnyumbulisho wa kodi na tozo za mafuta yanayoingia nchini, bado namuona TASAC anachukua Tsh 3/= kwa kila lita kwa kazi ipi hasa? ..Kumbuka TASAC alipewa majukumu...
Kauli za kihunihuni bungeni zimekuwa nyingi sana utafikiria bungeni magetoni kwao bunge linatakiwa kuheshimiwa sana
Bunge la awamu hii ni la ajabuajabu limejaa wahuni wahuni tu kazi kicheka hovyo...
Wakuu, msikilizeni wenyewe mwandishi huyu mkongwe katika tasnia ya habari hapa Tanzania akieleza kuhusu kupotea kwa mwandishi wa habari Azory Gwanda na Ben Saanane, pamoja na athari ambazo matukio...
tokea masaa 5
Dar es Salaam. Zaidi ya mabasi 150 ya mwendo wa haraka (mwendokasi) yaliyoletwa kwa ajili ya kutoa huduma katika barabara ya Mbagala, yamekaa kwa zaidi ya nusu mwaka bila kuanza...
Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 48 ajulikanaye kwa jina la Everist katika Kijiji cha Katangara, Wilayani Rombo, Tarafa ya Mashati amefariki kwa kujinyonga muda mfupi baada ya kuchoma moto...
Pumzika kwa Amani Temba ndio umekufa kifo cha kikatili sana sidhani kama uliwahi kufikiria utakufa kifo cha kikatili hivo.
Poleni sana wana familia wa Temba Mungu awe faraja kwenu kipindi hiki...
Jana Jumanne bhana nikaamka na dhamira moja—kutafuta ukweli kuhusu ufadhili wa MEXT wa Japan. Nilikuwa na ndoto ya kuwasaidia vijana wangu wanne kufungua milango ya elimu ya kimataifa. Safari...
Naomba radhi kwasababu kuna mechi zilishapita kabla sijaweka muongozo huu.
Muongozo ni huu: Arsenal ata tinga kwenda fainali za mabingwa wa ulaya
Bayern Munich atatinga pia kwenda fainali za...
Mwombolezaji Leah Ngowi, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 60 mkazi wa Kiboriloni wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, amefariki dunia akiwa kwenye msiba wa aliyekuwa mwanafunzi wa Taasisi ya...
Leo nilikaa kwa kutulia kuna bidada mmoja namuelewa sana kwenye moja nambili juzi kat alikua nachangamoto ya kifedha ukweli niliumia sana nikashindwa kumsaidia ingawa ni sehemu ya furaha yangu...
Wa salaam wakuu.
Wakuu bila kupoteza muda ningelipenda kwenda moja kwa moja kwenye mada, Kuna jamii hii ya washiraz naskia inapatikana huko pwani ya nchi yetu hususani mkoani Tanga.
Basi wenye...
Naandika kwa masikitiko makubwa sana ikiambatana na huzuni. Hili tatizo la ajira ni karibu dunia nzima kwa sasa hasa Afrika. Ila tunachotofautiana ni namna ya kukabiliana na tatizo. Nchi nyingi za...
Moja kwa moja.
Watu wengi wanadhani vita ikiisha basi maisha yatarudi kawaida na bei za mafuta katika soko la Dunia zitashuka na kurudi katika hali ya kawaida.
Msichokijua kwamba atahari ya hii...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia zimeazimia kuendelea kuchukua hatua katika kuondoa vikwazo vya biashara ili kurahisisha usafirishaji wa bidhaa, huduma na watu, hatua...