Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Salum Hapi ameliagiza Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina kuhusu tuhuma za mwalimu wa kiume katika Shule ya St Florence ya jijini Dar es Salaam...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Natambua wapo Watanzania zaidi ya million 50 ikijumlishwa mimi na wewe, ifuatayo ni listi ya wale wenye uthubutu waliowahi kuwania nafasi ya juu kabisa ya ungozi kwenye nchi yetu hawa si wengine...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Wakazi saba wa Mwanza na Shinyanga wamekamatwa na maofisa usalama katika kaunti ya Nzoia, mjini Kitale wakijihusisha na ombaomba na ulanguzi wa watu kinyume na sheria za Kenya. Watu hao...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni hekaheka maeneo ya bwiru vitu vimelia kama nusu saa ,ahueni ya kupost imepatikana sasa hivi Ni kwamba wazee wa ngwasuma a.k.a wazee wa hapa kazi tu walitua katika ile bar mpya inayohit mwanza...
5 Reactions
82 Replies
11K Views
Nafurahi kuwajulisha wanajukwaa kuwa jana nilipanda ndege ya shirika letu la taifa (Tanzania) la usafiri wa anga ATCL kutoka Dar kwenda Mwanza na kwakweli wamejipanga sana kuhudumia wateja wao...
15 Reactions
50 Replies
6K Views
Askari wa usalama barabarani wamekuwa na jadi ya kujizalishia makosa kila uchao kwa minajili ya kutoza faini magari ya watu binafsi. Hivi makosa hayo mnatoza magari ya serikali? Hata aibu mmekosa...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Habari wanajamvi, Baada ya kusubiri kwa muda mrefu kwa watahiniwa wa ngazi mbali mbali za mitihani toka bodi ya uhasibu Tanzania,leo tarehe 31 Mei 2018 matokeo ya mitihani iliyofanyika Novemba...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ujerumani ni nchi ya Magharibi iliyoedelea sana. Wengi tunafikiri kwamba wakazi wake wanaishi maisha ya raha na anasa. Lkn hii si kweli. Tulipofika mji wa Hamburg tulipokelewa na Mtanzania...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kila kijana ni mstaafu ,kuwa mstaafu sio kosa. Bado sijaelewa kama serikali wanataka kuwadhulum au la, lakini wanatakiwa watambue DHULMA haidumu. Kwanini Jamiiforums kumekuwa ni sehemu ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
MOSHI wanawake wengi wanamiliki nyumba kuliko wanaume . Wanawake wengi wanamiliki vitega uchumi na miradi mingi kuliko wanaume. Ukiwa mtaani hasahasa bar au sokoni utaona wanawake wengi...
4 Reactions
29 Replies
5K Views
Jana nimepoteza simu. Likini mlolongo wa kurudishiwa laini lazima uanzie kwa Wakala mkuu, ukijaza fomu anakuagiza uende Kituo cha polisi, ukifika wanakwambia uende Central police, kisha unarudi...
3 Reactions
46 Replies
5K Views
Serikali ilizindua sera ya Taifa ya huduma ndogo za fedha ili kuhakikisha wakopaji wakiwemo wajasiriamali wadogo wanalindwa na kupata haki zao bila kudhurumiwa wanapo hitaji mikopo na huduma...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Salam, Hakika Tanzania sijui tuna mkosi gani, mara nyingi huwa tunakwenda mbele kwa kasi ya kuridhisha katika mausuala ya kiuchumi, au kiteknolojia, lakini ghafla, tunarudi nyuma/tunashindwa. Kwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Uamuzi wa Serikali wa kupunguza kiwango cha chini cha amana kinachotakiwa kuwekwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na benki za biashara nchini, umechochea taasisi za fedha yakiwemo mabenki kuanza...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ripoti ya Shirika la kutetea haki za watoto la Save the Children imesema karibu watoto Bilioni 1.2 wanakabiliwa na hatari kubwa kutokana na Migogoro, Umaskini na Ubaguzi wa kijinsia katika nchi...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
*Uchawi Wa Kweli Ni Pale Unaposubiri Baba Yako Ambaye Ni Dereva Bodaboda Aende Kazini, Halafu Wewe Unampigia Simu Demu Wako Aje Nyumbani. Bahati Mbaya Inalalia Kwako, Kwani Baba Yako Ndiye...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Zimebaki siku chache tu mfungo umalizike nawatakia heri ya sikukuu wanaJF wote na wafungaji wote, Mungu aifanye sikuku yenye amani na baraka tele.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ikiwa mtu alisoma degree si ya ualimu then akajasoma diploma ya ualimu na akaajiriwa serikalini kupitia diploma! JE AKISOMA POSTGRADUATE DIPLOMA YA EDUCATION SCALE YAKE NA CHEO ITAKUWA SAWA NA...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Wizara imemwandikia barua Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili kubadili sheria na kila mtu aweze kujipima Ukimwi nyumbani. Waziri Ummy ameyasema hayo leo Mei 31...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Akrit Jaswal ni kijana mdogo wa kihindi aliyeitwa kijana mtanashati katika dunia nzima, kwa maajabu aliyonayo. Kijana huyu ana IQ 146 na anahesabika kuwa ndiyekijana mtanashati katika nchi ya...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…