Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna Mtu aliwahiwa kuonana nae zamani alipokuwa Mwanza huko na kusema ' Jamaa ' alikuwa ' Kimbaumbau ' sana na Mimi mwaka 2015 wakati wa Kampeni nilimwona akiwa na mwonekano mzuri na wa ' Kikazi '...
0 Reactions
2 Replies
994 Views
Tumekuwa na waandishi,wachapishaji na wahariri wa hovyo sana Tanzania.. Haieleweki huwa wanawaza nini mpaka wanafanya makosa makubwa ya kiuandishi namana hii. Mi sio mwandishi lkn makosa...
0 Reactions
1 Replies
608 Views
Jamani naombeni kujua bei ya safari ya ndege Dar to Mwanza kwa anaye fahamu
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani naombeni kujua bei ya safari ya ndege Dar to Mwanza kwa anaye fahamu
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani naombeni kujua bei ya safari ya ndege Dar to Mwanza kwa anaye fahamu
0 Reactions
0 Replies
928 Views
ASKARI wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), John Soko (25), anatafutwa na polisi kutokana na kusababisha vifo vya watu watatu baada ya gari lake kupinduka. Soko ambaye ni askari katika kikosi...
2 Reactions
74 Replies
9K Views
Kati ya walionacho na wasiokuwa nacho.. mwenye chuki na mwenzie ni MWENYE NACHO.. MWENYE NACHO daima hataki asiyekuwa NACHO awe nacho kwa kua..msingi mkubwa wa wenye NACHO ni UNYONYAJI..! ILA...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Juzi tu hapo nimenunua kifurushi kwa sh 500, leo naangalia bei imepanda kua 1000 kwa ujazo ule ele {bila ongezeko la ujazo} Unakabilianaje na ongezeko hili la bei za vifurushi, punguzo la ujazo...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Mzuqa, Yani jamaa hana amani kabisa licha ya yeye kuwa Bilionea. Hana permit ya uhakika ulaya anazingushwa zungushwa tu. Miez michache iliyoputa uingereza ilibania kuextend visa yake jamaa...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Yani sijui hawa watu wa mitatandao au TCRA hawalioni hili jambo. Hizi kampuni za simu zinatuibia sana wananchi yani ukiacha salio katika simu yako hata Lisaa haliishi ukiangalia utaona imekatwa...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Wakuu habari za saa mzito? Nimejitokeza kwenu kuuliza Ndani ya siku 2 hizi zilizopita nimepanda magari ya UDART niaona TV channel imeandikwa BUS TV Maana yake ni kuwa wameanzisha channel au?
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimekuwa nafuatilia kwa ukaribu sana Ma Bombardier yetu na li Dreamliner pia. Kuna sehemu nimepata laki tatu naombeni kujua bei ya Mwanza kwenda na kurudi
0 Reactions
12 Replies
1K Views
MGAMBO HANA MSHAHARA,ANAPATA POSHO KUTOKA KTK PESA YA FAINI YAKO..kesho ni Magufuli day..!
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama kichwa knavyojieleza hapo juu, nimejarbu kufnya "research" takriban miaka 4 na nimegundua yafuatayo ambao ukiyafanya yana weza kukuletea faida Nayo ni:- I/Ubongo wako ni kama bustan ...
0 Reactions
6 Replies
798 Views
Wakuu Hasa Wale Wataalamu Wa Chemical na Hata Physics Kwa Ujumla Nataka Kupata Ufafanuzi Hapa Kidogo!! Chupa zetu Za Kuhifadhi Joto La Vinywaji Au Vimiminika Kama Chai, Kahawa au Maji Moto Ndani...
3 Reactions
81 Replies
34K Views
Kivuko cha Mv Nyerere kilichopinduka Alhamisi Septemba 20, 2018 hatua chache kutoka gati la kijiji cha Bwisya kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe kimenyanyuliwa baada ya jitihada za siku tano za...
5 Reactions
182 Replies
25K Views
Dhana ya ‘Elimu Bure’ kwa kila mtoto wa Tanzania imeshindwa kuendana na uboreshaji wa miundombinu ya kufundishia na kujifunzia ambapo wanafunzi wa shule za msingi Kasindaga na Mshanje wilayani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu ,nimesoma mahali nikakutana na hili suala la reptilian brotherhood au reptilian illuminati ila nimeshindwa kuelewa kiundani zaidi. Anayefahamu anijuze tafadhari.
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Ni historia ya kweli niliwahi kuishi na kaka karibia miaka mitano tukaja kutofautiana baada ya kaka kuoa. Kaka ni mwenyeji wa Tanga na shughuli yake ya mwanzo uvuvi aliendelea nayo hata alipo sa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kila movement inayofanyika ni ya kuhakikisha Serikali inakuwa na nguvu ya kutopingwa ama kukwamishwa kwa jambo lolote. Kwa mfano hili la kutaka kuua vyuo vikuu binafsi huenda ni sehemu ya mkakati...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…