Wajue reptilian Brotherhood.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,406
21,086
Wakuu ,nimesoma mahali nikakutana na hili suala la reptilian brotherhood au reptilian illuminati ila nimeshindwa kuelewa kiundani zaidi.

Anayefahamu anijuze tafadhari.
 
Ujamaa wa Watambaachi/Mijusi (Reptilian Brotherhood);
  • Crocodylia Owen (Mamba)
  • Rhynchocephalia Günther (Tuatara)
  • Squamata Oppel (Mijusi na nyoka)
  • Testudines Batsch (Makobe)
  • Saurischia Seeley (Aina flani ya ndege)
Kuna swali jingine!?.
 
nadhani anahisi hao ndio wanaojua kila kitu
hii tabia naona inazidi kuota mizizi humu jukwaani
unakuta MTU analeta maada then anaanza kuwatag watu
sasa kama alikuwa ana uhakika hao aliowatg wanajua c angewapm wamalizane .
kuna jamaa alikuwa na majibu ya shombo anaanzisha thread then ana wa tag watu wake .sasa wewe jifanye kujibu utaambulia matusi.mpaka khero.
ama kweli.kuishi na watu Ku jifunza mengi
 
Nimemtag nani?
 
Hahaha, Wajuzi wake wa mambo Nadhani ndio anawaona wanajua mambo haya zaidi Hahaha ,halafu heading mbn km kakosea?
hapo kuna wengine wanajua mambo ya uchawi na siasa tu.
inakuwa kama MTU kuweka imani kwa mganga Kila kitu kumwendea
mwishowe na mganga ili usimshtukie kuwa hajuh kitu atabaki kukupiga porojo na wewe huku ukiamini
 
Nyie mnaongelea nini mbona siwaelewi?
 
hii tabia naona inazidi kuota mizizi humu jukwaani
unakuta MTU analeta maada then anaanza kuwatag watu
sasa kama alikuwa ana uhakika hao aliowatg wanajua c angewapm wamalizane .
kuna jamaa alikuwa na majibu ya shombo anaanzisha thread then ana wa tag watu wake .sasa wewe jifanye kujibu utaambulia matusi.mpaka khero.
ama kweli.kuishi na watu Ku jifunza mengi
Mkuu umemind au sio
 
Wao ni miongoni mwetu unywa damu, nyama-nyama, kutengeneza sura-kutengeneza humanoids ya reptilian ya nje ya nchi na lengo moja pekee katika vichwa vyao vya baridi-vidogo vya damu: kuwatumikia jamii. Wao ni viongozi wetu, watendaji wetu wa ushirika, watendaji wetu wapendwa wa Oscar na waimbaji wa Grammy, na wao ni wajibu wa Holocaust, mabomu ya Oklahoma City na mashambulizi ya 9/11 ... angalau kulingana na michezo ya zamani ya BBC mwandishi David Icke, ambaye alikuwa mwanadamu kwa ajili ya nadharia mwaka 1998 baada ya kuchapisha kitabu chake cha kwanza, Siri kubwa zaidi, ambayo ilikuwa na mahojiano na Brits wawili ambao walidai kuwa wanachama wa familia ya kifalme sio zaidi ya vijiji vyenye korona. (Dracula picha hukutana na Swamp Thing).

Mchungaji wa dini ya njama na mwanafalsafa wa New Age, ambaye alikuwa amevaa turquoise tu kwa muda na alisisitiza kuitwa Mwana wa Mungu-Mkuu, anasema haya "Annunaki" (reptiles) wamewadhibiti wanadamu tangu zamani; wanahesabu miongoni mwa Nabii Elizabeth, George W. Bush, Henry Kissinger, Bill na Hillary Clinton na Bob Hope. Kuhamasisha katika wilaya nyingine ya wasanii wa njama, Icke hata anasema kwamba wachawi ni nyuma ya jamii za siri kama Freemasons na Illuminati. Tangu kupata kichwa cha kushangaza cha "karamu ya miaka kumi" mwishoni mwa miaka ya 1990, Icke ameandika vitabu kadhaa juu ya mada hii, ikiwa ni pamoja na kazi yake ya hivi karibuni, Mwongozo wa Daudi Icke wa Mpango wa Global, wakati akiendesha tovuti yake mwenyewe - kamili na bidhaa na matangazo.

Kwa msaada wa GOOGLE TRANSLATE
 
Mmoja wao si alikuja hapa bongo juzi. Sijui keshaondoka?
Mwangalie tu ile pic anayopokea zawadi ya picha kutoka kwa mkuu....
 
Back
Top Bottom