MUBIKU
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 284
- 388
Kama kichwa knavyojieleza hapo juu, nimejarbu kufnya "research" takriban miaka 4 na nimegundua yafuatayo ambao ukiyafanya yana weza kukuletea faida
Nayo ni:-
I/Ubongo wako ni kama bustan , unachokipanda ndio kitakacho ota na kukua( jitahid upande ktu chenye manufaa , mfno , panda mbegu ya kujiamin, upendo, ushindi, na kutokata tamaa ) Kwa kufanya hvo muda wote utakuwa muda Wa furaha , aman na mafanikio.
*Panda mbegu iliyo sahihi kwako
ii/Mwana mke ni kama ( cassette/external drive) hivo utakachokiweka kichwan kwake, akil kwake ndicho utakachokuja kuki cheza (play) ktk mahusiano yako na yeye
iii/ Hakuna kinachoshindikana ktk maisha , mungu ametuumba tushinde na tuweze vyote km sisi ni matokeo ya mfano wake ndoman unaweza kufanya dhambi, maovu na mengineyo Kwa kutumia akil yako mwnyewe, tofaut na wadudu , wanyama au malaika walio umbwa Kwa mfumo Wa kujikidhi ( limited edition creationism) hawawez kulima , kutengeneza ndege na n.k
Kwahyo kujiwekea kushindwa ni akil yako tu
iv/ Hakuna mwema katk maisha Bali kuna wapinzan hvo yatupasa tuwe makin ktk maisha yetu na watu wanao tuzunguka maana Hawa ndo wana athiri muundo wetu Wa jinsi gan tuish na tufikie malengo
- hii ina tokana na mfumo Wa chuki na hudsa tulizoumbiwa nazo
V/Kusoma vitabu/kupata uzoefu kunasaidia sna kuongeza uwezo na upana Wa kufikir, hvo kuwa makin na unachokisoma au kujifunza
*Ningependa uongeze vtu vyako hapo chini ili tuweze kujiboresha zaid ktk mazingir na maisha ya kila cku#