Wadau hawa walimu ni shida mno,ada tulipe na maswali tupewe sie tujibu khaa. Wazee naomba mnisaidie kujua viongozi wa makabila yafuatayo maana
Kimbu,sangu,waha na wahaya.
Mbeya. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ameagiza Katibu wa CCM kata ya Maanga jijini Mbeya, Norasco Tibakawa kukamatwa na kuwekwa rumande saa 24 baada ya kudaiwa kutafuna Sh20, 000 za...
Wadau salaam!
Ningependa kufahamu kuhusu NHIF! Kwa mfano, baba alikuwa ndie mfanyakazi na yeye akaorodhesha Wategemezi wake. Je, huyu baba anapofariki hawa Tegemezi wataendelea kutumia huduma za...
DAWA YA KUTEKWA IMEPATIKANA.
➡ Amani iwe nawe mdau wa JF.
Ni muda sasa zoezi (naliita zoezi kwa sababu lina ukakasi) la utekaji wa raia tunao waona hawana hatia likiwa linajongea taratibu wakati...
Nchi za Afrika ikiwemo Tanzania zinatakiwa kuwekeza kwa kiasi kikubwa kwenye maarifa na elimu ili kuendana na soko la ushindani linaloendelea kwa kasi Duniani
Hayo yalibainishwa na Waziri wa...
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako, amesema wanafunzi wanaosoma kupitia mtaala mpya watasoma kwa miaka saba kwa elimu ya msingi kama ilivyokuwa awali.
Aliyasema hayo...
Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Arusha, limepiga marufuku wajawazito kuvaa shela wakati wa kufunga ndoa kwa kuwa vazi hilo ni alama ya ubikira kwa mwanamke.
Kutokana na msimamo huo, kanisa hilo...
Kinara wa biashara za magendo Wilayani Kilwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashahuri ya Wilaya ya Kilwa Ndugu. Abuu Musa Mjaka (CUF) amekamatwa na Mbao za Magendo vipande 400 Nyumbani kwake...
Watu 19 kati ya 26 waliokuwa wakishikiliwa na polisi wakihusishwa na tukio la kutekwa mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ wameachiwa kwa dhamana jana usiku Oktoba 15, 2018.
Miongoni mwa...
Serikali imeipa siku 24 kampuni ya Mohamed Enterprises kuyarudisha mashamba ya mkonge inayoyamiliki ya Mazinde Group yenye ukubwa wa hekta 9418 ambayo miongoni mwake hayajaendelezwa
Naibu waziri...
Habari za mchana, leo ni mara ya tatu natumiwa meseji toka airtel ya kufungiwa kama sitakamilisha usajili.
Mara ya kwanza nilienda kwenye duka la airtel nikatoa kopi ya kitambulisho na pesa ya...
Ningelikuwa mimi ndio ndugu yake aiseeeee ningeenda kujichimbia vijijini kufanya matambiko ili ndugu yangu apatikane hehe.
Ningetia mashipa na uzezeta wale wote waliofanya hujuma hii mbovu kwa...
Uzi huu utakuwa updated kila mara kwa sababu moja tu nataka nicreat kitu ambacho vijana watakaokuja kusoma baadae inshalah kama forum yetu itazidi kuchanja mbuga wajue wapi mr Zero IQ alikotokea...
Habari zenu ndugu.
Ninaomba msaada kwani maadui zangu ni wachawi wananishambulia kwa namna mbalimbali.
Sina la kufanya ila mimi ni mcha MUNGU, ninasali sana ila kwa sasa nahisi kuchoka.
Naombeni...
Mazingira bora yakutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika Sekta Binafsi kutaiwezesha sekta hiyo kupata fedha katika Mashirika ya Kimataifa ambayo yametenga bajeti kwa ajili ya kuimarisha...
Shikamooni wakubwa zangu wote.
This is just a public relations advice.
Katika kipindi hiki cha uhaba wa mabasi ya mwendo kasi (watu wanajaa vituoni na mabasi ni machache) Mimi kwa akili zangu...
Faida za nondo
1.Bei rahisi kuliko flat bar grills
2.Ni ngumu kuvunjwa na wezi kama flat bar grills
Hizi ndio faida kuu.
Faida za flat bar grills
1.Inarembeka kwa URAHISI
Nondo ukipata fundi...