Wadau salaam!
Ningependa kufahamu kuhusu NHIF! Kwa mfano, baba alikuwa ndie mfanyakazi na yeye akaorodhesha Wategemezi wake. Je, huyu baba anapofariki hawa Tegemezi wataendelea kutumia huduma za NHIF au akishafariki ndo basi tena, wanatakiwa kutafuta ustaarabu mwingine?
Natanguliza shukrani!