Msaada: Bajaji hii imenifanyia uhalifu

Msaada: Bajaji hii imenifanyia uhalifu

Duh!mkuu punguza muhemko,andika vizuri tuelewe then tuone tunakusaidiaje!!!!
 
Mbona kama umelewa? Usiende polisi muda huu, hutarudi...
 
Nenda kwanza ukatoe taarifa polisi kuhusu mmiliki kujulikana hilo ni swala rahisi sana ukizingatia number za usajili umefanikiwa kuzipata.
 
Ungetafuta njia ya kuifatilia mpaka wanapopaki.tatizo hawachelewi kusema nilimpa deiwaka.
 
Ulevi wako umechangia pia
Kwani umepiga ramli?Umejuaje kama mlevi?Anababaika kwa sababu amefanyiwa uhalifu.Halafu,mbona huwa mnahusisha mambo ya hovyo na ulevi tu?Anapokunywa anatumia hela.Hanywi bure.Kama ni rahisi hebu na weye tumia hela kwa kula ugali wa elfu hamsini kila siku peke yako.
 
Tuma salamu
 
Jf ya siku hizi kama sio upumbavu basi majibu yanayotolewa hayahusiani na mada, kama huna cha kumshauri ni vema kukaa kimya kuliko kuandika mashudu.

Nenda polisi mkuu utasaidika.
 
Jf ya siku hizi kama sio upumbavu basi majibu yanayotolewa hayahusiani na mada, kama huna cha kumshauri ni vema kukaa kimya kuliko kuandika mashudu.

Nenda polisi mkuu utasaidika.
Kweli zamani watu walikua wanatumia vizuri JF, ilikua mada ikitolewa, comment ya kwanza tu ilikua inatoa majibu. Siku hizi utasikia nawahi siti.
 
Back
Top Bottom