Sakata la Mo, watanzania bhana!!!

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,546
2,981
Ningelikuwa mimi ndio ndugu yake aiseeeee ningeenda kujichimbia vijijini kufanya matambiko ili ndugu yangu apatikane hehe.

Ningetia mashipa na uzezeta wale wote waliofanya hujuma hii mbovu kwa Taifa hili, nisingetangaza dau kwa watu nguvu zote nazitupia huko dah aisee.

Moja ya mawazo ya mtanzania ndiyo anajigamba hapa.

Ila yote kwa yote kwenye nzi wengi ndipo kwenye mzoga.
 
Ungeandika bila jazba tukuelewe, maana nimeweka andiko lako mpaka kwenye google translate bado sijaelewa.
 
Ningelikuwa mimi ndio ndugu yake aiseeeee ningeenda kujichimbia vijijini kufanya matambiko ili ndugu yangu apatikane hehe.

Ningetia mashipa na uzezeta wale wote waliofanya hujuma hii mbovu kwa Taifa hili, nisingetangaza dau kwa watu nguvu zote nazitupia huko dah aisee.

Moja ya mawazo ya mtanzania ndiyo anajigamba hapa.

Ila yote kwa yote kwenye nzi wengi ndipo kwenye mzoga.

Mtoa mada bhana..
 
Back
Top Bottom