Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa muda mrefu binadamu amekua akijiuliza maswali ama angependa kufahamu mambo yafuatayo: *_Nini chanzo cha uhai?_* *_Nani mwanzilishi wa ulimwengu?_* *_Dhumuni la kuishi ni lipi?_* *_Je kifo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Cheki bifu ya mzee mwenyewe 50 cent kwa hasimu wake ndio utajua kwamba mbele ni mbele tu bongo michosho, we wa uswazi eti unajifanya kumchukia mond au kiba na wakati hujawahi ingia ata show yake...
0 Reactions
4 Replies
828 Views
Rioba anadai wanafanya kazi kwa weledi arushe hyo pres kama yy kidume
0 Reactions
9 Replies
2K Views
We brotherhood tumekusanyika hapa kama kawaida yetu kukutana kila baada ya muda Fulani .. Tukiwa tunajadliana haya na yale maongezi yanalenga mafanikio tu na jinsi gani akaunti zinavyoendelea...
0 Reactions
2 Replies
728 Views
Leo hii nimesoma makala kwenye gazeti la Mwananchi ikiwa na kichwa cha habari Mtandao wa mirungi watikisa Moshi Kwanza nalipongeza gazeti la Mwananchi kwa kufanya uchunguzi kuhusu biashara ya...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Nazungumzia wale ambao utotoni hata kuvaa kiatu kizuri. Ilikuwa ni shida. , msosi mzuri mpaka sikukuu. Tukipata "maisha mazuri" huku ukubwani huwa hatuamini wengine wana shida mpaka tuone...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Vijana tunaoanza maisha nakutoka nyumbani kwenda kupanga ni raha kwetu kutokana na uhuru angalau tunaokuwa nao ila ni vyema kwenye kupanga ni vyema kutokukaa pekeyako eiza uwe umeoa au unaishi na...
7 Reactions
89 Replies
12K Views
Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli. Kwanza kabisa naanza na kukupongeza kwa juhudi kubwa unazozifanya kwaajili ya Maendeleo ya Taifa. Mheshimiwa Rais katika...
3 Reactions
59 Replies
5K Views
NIlipokuwa mdogo niliwahi ambiwa na babu yangu "Never trust any one" kwa kiswahili "Kamwe usimwamini mtu yeyote zaidi ya nafasi yako"...yaani kwa maana nyingine hata rafiki au ndugu wa karibu sio...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau naomba kwa anaefahamu jinsi ya kufanya fund-raising kupitia mitandao Naomba sana msaada kwa anaefahamu
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mimi ni kijana umri miaka 33 ni dereva mwenye leseni daraja c kavu nimesoma NIT na nifundi magari makenika level 1 nimesoma veta ninao ujuzi wa kutosha kwenye ufundi na udereva niko tayari kufanya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
" Work hard in Silence, do what you have to do and ignore the drama and negativity surrounding you, let your Success be your noise ". Nawasilisha.
2 Reactions
11 Replies
2K Views
NIlipokuwa mdogo niliwahi ambiwa na babu yangu "Never trust any one" kwa kiswahili "Kamwe usimwamini mtu yeyote zaidi ya nafasi yako"...yaani kwa maana nyingine hata rafiki au ndugu wa karibu sio...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa Kiujumla hakuna taifa duniani lilioumbwa au kuundwa likiwa kama lilivyo hivi sasa German, USA,BRITISH, JAPAN,Russia, CHINA,CANADA na Brazil hizi nchi zote zilipambana kufikia...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
" Work hard in Silence, do what you have to do and ignore the drama and negativity surrounding you, let your Success be your noise ". Nawasilisha.
1 Reactions
1 Replies
737 Views
NIlipokuwa mdogo niliwahi ambiwa na babu yangu "Never trust any one" kwa kiswahili "Kamwe usimwamini mtu yeyote zaidi ya nafasi yako"...yaani kwa maana nyingine hata rafiki au ndugu wa karibu sio...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu Napenda nichukue nafasi hii kueleza nilicho jifunza siku ya Leo,huenda miongoni mwetu yupo atakaye guswa na somo hili Nanukuu mafundisho UAMINIFU Kuna maana nyingi sana za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu Napenda nichukue nafasi hii kueleza nilicho jifunza siku ya Leo,huenda miongoni mwetu yupo atakaye guswa na somo hili Nanukuu mafundisho UAMINIFU Kuna maana nyingi sana za...
1 Reactions
1 Replies
11K Views
Habari wakuu Napenda nichukue nafasi hii kueleza nilicho jifunza siku ya Leo,huenda miongoni mwetu yupo atakaye guswa na somo hili Nanukuu mafundisho UAMINIFU Kuna maana nyingi sana za...
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Uyu jamaa tangia amekula uteuzi ktoka kwa magu amekuwa mkimya sana Je nini kimemkuta ama nini kinamfanya akae kimya maana wateule wenzie wako bize kusaka kick na majina kupitia vyombo vya habari...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…