A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,131
- 1,598
Wadau naomba kwa anaefahamu jinsi ya kufanya fund-raising kupitia mitandao
Naomba sana msaada kwa anaefahamu
Naomba sana msaada kwa anaefahamu
Shukrani sana MkuuNi aibu kwa tamaduni za kibongo kwanza hii ishu kwa Africa haipo ni mambo ya ulaya. ni kama mambo ya volunteering yaani unajitolea kufanya kazi sehemu fulani na unajilipia garama zote kuanzia nauli, chakula na malazi ili tu upate uzoefu haya mambo ni ya ulaya sio kwetu.
nina story ndefu sana juu ya fund rising scenario hahaa ila kwa ulaya ni kawaida unaweza kuandaa kasheree kadogo kama cocktail unaalika wadau kisha unawaambia hitaji lako mfano una mtoto anahitaji kwenda Africa kupanda mlima Kilimanjaro lakini unahitaji mchango kufanikisha ndoto zake kisha watu wanakuchangia hivyo hivyo kwenye miradi ama ubahitaji kukusanya fedha kwa ajili ya watoto yatima sehemu fulan .......
kwa ufupi unahitajika kufanya yafuatayo
1. unaandika introduction yako kwa umakini
2. Lengo lako ( objectives)
3. wanufaika wa fedha ama msaada unaotaka (beneficiaries)
4. budget
5. Nini kitatokea usipopata huo msaada
5. unaweza pia kuweka video fupi
MWISHO
unatuma maelezo yote kwa marafiki zako wa kwenye mitandao ya jamii mfano Facebook Twitter na wote ulionao kwa contacts zako ili wakusaidie.
Ni hivyo tu mkuu
Shikrani MkuuFundme.org kama sijakosea then unaanzisha campaign especially kwny social networks
Kuna wahitaji ambao tunajitolea kuwasaidia ambao ni watoto wenye ulemavu na magonjwa kama mgongo wazihivi vitu kwa tamaduni zetu ni ngumu sana lakini ukipata publicity ya vyombo vya habari vikakutangaza wewe na uhitaji wako unaweza kusaidiwa hata kama unatakiwa Billion moja utaipata.
nachelewa kusema zaidi kwa kuwa sijui mhusika ana malengo gani ?
nikifahamu nitaongea zaidi....
Ukimanisha nini MkuuKwa Africa ni kanisani tu naona
Maana hata Apple linauzwa kwa milioni
Kwa kuanza nenda clouds media kutana na beby kabaya ongea naye akualike kwenye kipindi usikike na watanzania ukieleweka mambo poa .....sio ngumu jipange kwani sio kazi rahisi kwa kila mtu kuweza kufanikisha inahitaji akili na umoja wa watu sio mtuKuna wahitaji ambao tunajitolea kuwasaidia ambao ni watoto wenye ulemavu na magonjwa kama mgongo wazi
Wazee pia tunawasaidia ndiyo maana nahitaji kufahamu Mkuu
Shukrani sana MkuuKwa kuanza nenda clouds media kutana na beby kabaya ongea naye akualike kwenye kipindi usikike na watanzania ukieleweka mambo poa .....sio ngumu jipange kwani sio kazi rahisi kwa kila mtu kuweza kufanikisha inahitaji akili na umoja wa watu sio mtu
Fundraising ipo sana ulaya lakini kwa Tanzania sijawahi kusikiaUkimanisha nini Mkuu
ShukraniFundraising ipo sana ulaya lakini kwa Tanzania sijawahi kusikia
Lakini kila kitu kina mwanzo all the best mkuu
Unaweza ukajaribu hata kwenye magroup ya Facebook kwani kuna watu wanasaidiana sana hukoShukrani
Sawa Mkuu nitajaribuUnaweza ukajaribu hata kwenye magroup ya Facebook kwani kuna watu wanasaidiana sana huko
Mkuu unafahamu jinsi ya kuandaa proposalSawa Mkuu nitajaribu
Hapana sifahamu ila nimejaribu tu ku google na kuona kuna aina nyingi za fundraising kama binafsi na hata za non profit na za kampuni piaMkuu unafahamu jinsi ya kuandaa proposal
mkuu jipange sio issue ya usiku mmoja jipe muda ata miezi 2 weka mambo sawa kisha tembea usifikiri kuna mtu anaejua sana kuhusu kesho na kuzidi wewe unaehitaji kutenda. kushindwa kwa wengine hakumanishi kutokuwepo kwa uwezekano wa leo mwingine kufanikiwa.Mkuu unafahamu jinsi ya kuandaa proposal