DEREVA FUNDI

DEREVA FUNDI

msema_kweli

Senior Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
178
Reaction score
102
Mimi ni kijana umri miaka 33 ni dereva mwenye leseni daraja c kavu nimesoma NIT na nifundi magari makenika level 1 nimesoma veta ninao ujuzi wa kutosha kwenye ufundi na udereva niko tayari kufanya kazi popote Tanzania ili mradi maslai yawe mazuri,No 0784 619897
 
Ndugu unapatikana mji gani?
 
Omba kazi kwa masilai mapana ya nchi siyo ya kukulisha ww
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom