Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanabodi leo hii bodi ya mikopo ya elimu ya juu imetoa orodha ya tatu na ya mwisho ya wanafunzi waliofanikiwa kupata mikopo kwa ajili ya ada na pesa ya kujikimu kwa wanafunzi wa elimu ya juu...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Salaam JF Naomba kuuliza Kwanini ni nadra sana kusikia watu wanaloea au kutaka Kuzamia nchini India tofauti na nchi kama South Africa au barani Ulaya? Kama issue ni ubaguzi mbona nchi kama...
5 Reactions
74 Replies
13K Views
Nimeonaaa maneno mazuri ya kamanda mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh. Mambosasa.Kiukweli aliepitwa ameongea mambo mazuri sana. Matraffick wasikimbilie kudai leseni ovyo bila kumweleza kosa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hamjambo wanajf wote . Naombeni ushauri kuhusu mwanza. Nimji mzuri kwamba utaendelea kiuchumi au nitakuja poteza ramani tu . Naomba ushauri nipo serious nataka niujue kiundani. Wanaouelewa...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Utakaso, ni utamaduni muhimu sana kwa kabila la wakara kaskazini magharibi mwa Tanzania, ambapo mwanaume au mwanamke anapofiwa na mwenzake analazimika kutafuta mtu wa kushiriki naye tendo la ndoa...
0 Reactions
46 Replies
8K Views
Wakubwa zangu kheshma yenu na rika langu mpo poaaa!!! Kuhusu historia ya nchi ningependa kujua kitu kama kujana wa kawaida kabisa kwa maswali mawili tu. 1.Wapi au kwa kinanani tutaweza kupata...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Semeni.. TEGA.. Yeye ni katiba, Yeye ni Bunge, Yeye ni Serikali, Yeye ni Halmashauri Kuu ya Chama, Yeye ni Hazina, UKIKUTANA NAE.. Msifie, Usimwambie mabaya yake, Mwite Mzalendo hata kama...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, Tangu kuzaliwa kwangu sikuwahi kufahamu chochote kuhusu uchawi, uganga na mizimu ipokuwa nilisoma thread za mshana jr na wengine tu. Sasa huku nilipo naishi kwenye chumba...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dotto James na Mwenyekiti wa Uvccm Heri James ni ndugu au majina yamefanana tu?
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Jamaa mmoja mkazi wa Mwanza wilaya ya Kwimba, ameuwawa kwa kukatwa sehemu zake za siri baada ya kufamaniwa na mke wa mtu! Ila inasemekana mwamke huyo alikuwa amekwisha achika kwa mumuwe kwa taraka.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hii ni mara ya tano umeme unakatika na kurudia ghafla ghafla, kama kuna tatizo Tanesco si mzime kbsaaa,kuliko hii kata rudisha kata rudisha, mtatuaribia vitu
0 Reactions
3 Replies
994 Views
Habar za muda huu ndugu wanajukwaa,tafadhalini account yangu ya JF haiwezi ku-support pm naombeni msaada wa namna ya kuirekebisha!
0 Reactions
0 Replies
336 Views
Nasikia sauti tu ya milipuko na sauti inatokea kama kati kati ya jiji ila sielewi ni yanini mwenye kujua anijuze
0 Reactions
104 Replies
11K Views
Tanzania imekuwa nchi mfano miongoni mwa nchi nyingi duniani, kuanzia kwenye rasiliamali hadi tabia halisi za Watanzania zimethibitishwa kuwa njema, msingi imara uliojengwa na waasisi wa Taifa...
0 Reactions
2 Replies
951 Views
Kuna wachawi, wanajimu, washirikina wengi ambao wamepaswa kuzungumziwa ma mmoja wapo wa aliyekuwa akifanya shughuli hizi alikuwa ni Sheikh Yahaya. Huyu tofauti na wengine alifanikiwa pia Kupata...
22 Reactions
136 Replies
32K Views
Karibuni tujuzane walipo wale waliotumbuliwa na kuahidiwa kupangiwa kazi nyingine. Mimi naanza na IGP Mangu hivi yuko wapi? Amepangiwa kazi gani?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mtaani kwetu kuna wadada wamekimbia familia zao Kwa mushindwa malejesho.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
THREAD ENDED
4 Reactions
13 Replies
5K Views
Ndugu wana Jf Mzimu Wa wizi Wa Mtihani unazidi kuziandama baadhi ya Shule zetu hapa Tanzania. Shule hii ya Cirket imeendelea kuwa na mienendo mibaya na wahusika wake kupelekwa polisi Mara kwa...
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…