Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimepata hii taarifa ya walio chaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2019 kutoka wilaya ya masasi... Announcement | Masasi District Council Wengine wenye orodha ya mkoa au wilaya waliopo...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Jana nilikuwa Pub moja kali sana, cha kushangaza wanaume tulikuwa karibua 98%, madem wachache sanaa. Kila niliyejaribu mdodosa wanakiri hali tete. Mtu kaja na bajeti ya 20, apige bia zake tano na...
5 Reactions
140 Replies
9K Views
Dstv imekuwa kichaa sana kwa sasa. Nasikia kuna receiver ya uarabuni inaitwa BEIN SPORTS iko pouwa sana. Please mwenye uelewa juu ya hili atuhabarishe tafadhali. Upatikanaji wake, coverage...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Huyo mzee anaitwa William Bruce Jenner Baba wa Kardashian Familly, ni Baba mzazi wa wanamitindo Kylie Jenner pamoja na Kendle Jenner , Pia ni baba mlezi wa kina Kim Kardashian . Baada ya...
5 Reactions
54 Replies
9K Views
Baada ya sakata la BASATA kufungia wimbo wa Diamond Platnumz wa "Mwanza", watu wametoa maoni yao mbalimbali. Wapo waliopinga, waliolaumu, waliofurahi. Basi tu ilimradi kila mtu kasema lake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kweli inasikitisha eti mkulima haulipwi pesa zako hadi uwe na hati ya shamba Ni mambo ambayo sijawahi kuyaona tokea enzi hizo za mababu na siamini kama hayo ndio maelekezo ya Jiwe Pia kuna...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hongera sana kwa mafanikio yako Rais wa Wanyonge .....!! LAKINI >Moyo wang umeumia sana nilipomsikia mama mmoja mwenye Kibanda chake kidogo akilalamika juu ya tozo nying anazolipa kuanzia...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu nimepitia Nyuzi mbali mbali Humu Ndani na nimekuta 90% ya nyuzi hizo ni malalamiko tu "Kwanini Tumekua Hivi?" Yani unaweza kuta Uzi mzuri kabisa wa kuelimisha umeanzishwa ila baada ya...
1 Reactions
6 Replies
829 Views
Wadau salama ! ! Natafuta plot ya kununua maeneo karibu kabisa na daraja upande wa kigamboni isizidi km 4 toka darajani, iweze kufikika kwa gari kama canter bila shida, mwenye nayo...
1 Reactions
1 Replies
999 Views
Najaribu kuwaza kwa sauti bila kutaka kutumia vyanzo vya taarifa za magharibi, Mashariki , kaskazini au Kusini. Nataka nitumie na awaye yeyote atumie akili zake Sasa China imekuwa msaada mkubwa...
0 Reactions
1 Replies
657 Views
Salaam wakuu? Kama tunavyojua siku za hivi karibuni baraza la sanaa Tanzania kama chombo cha kusimamia sanaa hapa nchini lilimfungia msanii Nasib Abdul almaarufu kama Diamond Platnumz kwa kile...
4 Reactions
39 Replies
6K Views
Katika viunga vya jiji la Tehran, nchini Iran, moja ya mgahawa maarufu wa Natalie Food uliopo katika mtaa wa Khorramshahr street, anapatikana mteja maarufu wa mgahawa huo ambae ni kijana mdogo wa...
4 Reactions
44 Replies
9K Views
Wataalamu sijawahi kusikia kokote kiongozi akitikisa mdomo hata kwa bahati mbaya kuzungumzia swala la kurutubisha uranium (madini ambayo tunayo kwa ujazo wa kutosha) Sasa kama hayupo, tupo sie...
4 Reactions
69 Replies
7K Views
Nimeenda kwenye Duka Moja pale Mailimoja Kibaha kwa ajili ya kununua zawadi za watoto, baada kuchagua vitu nilivyokuwa nahitaji nakufanya malipo nimeshangaa kuona naomba RISITI na kunyimwa kibaya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu Habari!.. Tusaidiane connection jamani. Mara kibao nimekuja humu na nyuzi zangu lakini hakuna mafanikio yoyote. Nimekuwa kama mlalamikaji namimi sipendi kuwa mtu wa kulalamika na kulia lia...
6 Reactions
16 Replies
3K Views
Kila siku naangalia TV japo nimuona Kangi akiitangaza Ilani ya Chama Changu ila naona kimya, au ndo ilani ndo ishatimizwa. Ukimwona nijuze tafadhali.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Leo tarehe 26 Askofu matata kabisa hapa Tanzania yuko na vijana Escape one beach wanakula bata mziki mnene kuogelea misosi kitimoto watu na viwalo yani
0 Reactions
16 Replies
4K Views
IJUE #KWANZAA, SIKUKUU YA WAAFRIKA NA UAFRIKA Baada ya Ukoloni Waafrika tulivurugwa na tamaduni mpya na za kigeni na kutupa kabisa mila na desturi zetu. Tumepokea majina ya kigeni, mila za...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa wanaoelewa ili naomba tupeane ufafanuzi juu ya hili..nimeangalia pale sio chini ya mil50 imetumika.. Sasa ni serikali inatoa pesa au wahisani?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…