Nani analipia gharama ya hafla maalumu ya mkuu wa mkoa Dar na viongozi wa dini.

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Naomba msaada kwa wanaoelewa ili naomba tupeane ufafanuzi juu ya hili..nimeangalia pale sio chini ya mil50 imetumika..
Sasa ni serikali inatoa pesa au wahisani?
 
Aliyelipia kikao cha viongozi wa upinzani kwenye hotel ya kifahari uko Zanzibar ni nani?
PAMBANA NA HALI YAKO kijana.
 
My dad is coming shauri zako.We uliza tu utapata ukitakacho wacha was enjoy Kila kitu na zama zake.Wapikuwepo wanaotisha,wababe ila Mungu katuweza wote futi sita chini zinatusubiri.Mwacheni Mungu aitwe Mungu soon tutaona matokeo .Ee Mungu tunashukuru kwa Kila Jambo
 
Back
Top Bottom