Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,239
- 10,586
Najaribu kuwaza kwa sauti bila kutaka kutumia vyanzo vya taarifa za magharibi, Mashariki , kaskazini au Kusini.
Nataka nitumie na awaye yeyote atumie akili zake
Sasa China imekuwa msaada mkubwa kwa nchi za Kiafrika kwa kutoa misaada nafuu na baadae sehemu kubwa ikinufaika kwa kafanya kandarasi miradi mingi. Kwa ELIMU yangu ndogo hela yao huwarudia wenyewe pia
Nchi za Ulaya na US zinapambana ili ikiwezekana kuidhibiti China isimonopolize kila kitu Afrika
HOJA YANGU. Hivi nchi za kiafrika zimejipanga kukabili hii namna ya kugombewa kama mpira wa kona?
Hivi Afrika tumejipanga kutumia hii kama Fursa tukijua huenda tukameza ndoano aidha ya China na washirika au Ulaya na washirika?
Hivi Afrika tuna mpango wa kuwatumia aidha China au Ulaya kwa muda tukilenga kyjitegemea ? Mbona India wameweza?
Siamini China au Ulaya kwa 100% Hii si China ya Mao Tsetung ni mabepari pasee
Si ajabu hata waarabu watakuja kujifunzia kwetu unyonyaji wa leo
Nawaza tu kwa SAUTI
Nawasilisha