Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sheria mpya nchini Saudia inawalinda wanawake kutopewa talaka bila kujua. Kuanzia siku ya Jumapili , mahakama zitatakiwa kuwaelezea wanawake kupitia njia ya ujumbe wa simu kwamba wamepewa talaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuanza tarehe 1 Jan, 2019 uwe ni mwaka wa kupinga kupitia mitandao umuzi wa JPM kurejesha kikokotoo kinachokausha ukwasi wa fedha kwenye mifuko ya pesheni. Ikumbukwe kwamba JPM amerudisha...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu Habarini. Mwaka huu nina plan ya kwenda kutalii huko Madagascar...kuna mwanaJF yeyote alishafika huko na life huko likoje na nini cha kuzingatia kwenda huko. Nilitaka kwenda comoro rafiki...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Mh Rais wetu kwenye ofisi za umma watumishi wa kada za chini wanaumia sana kwa kuhenyeshwa kazi na wakuu wa idara zao ili hali mishahara yao iko chini sana. Mara nyingi watumishi hawa wa kada ya...
0 Reactions
1 Replies
970 Views
Kesho January 7/1/2019 ni siku ya kuadhimisha uzalio wa yesu kristo (Messiah) kwa watu wenye imani ya dhehebu la Orthodox. . Dhehebu hili linawafuasi wengi sana katika nchi za Russia, Ukraine na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za weekend wakuu, Najielekeza ktk mada moja kwa moja je,ni sahihi na inafaa kwa mzazi ama mlezi kumfundisha mwanao juu ya taaluma uliyonayo ama biashara. Mfano mzazi/mlezi uwe...
0 Reactions
6 Replies
903 Views
Kama wote tunavyofahamu Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma ameitisha maandamano aliyoyaita ya amani kumpongeza Rais Magufuli kwa kutengua kanuni ya kikokotoo ya 25% lamp sum. Ameeleza kuwa maandamano...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu Wakati nasafiri kutoka Dar kwenda Dodoma mapema December 2018, abiria tulishuhudia watu watatu wakikusanya pesa zilizomwagika sijajua ni Maeneo gani ya Morogoro pale, ila watu wengine...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kiwanda cha 21st Century kinaungua moto mida hii. Kiwanda hicho kinamilikiwa na METL. Si mara ya kwanza kiwanda hicho kuungua moto, mara ya mwisho ilikuwa 2016 Kulikoni METL?
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari Wanazengo Ni jana tu nimepata matokeo ya mwanangu amepata div.4 kidato cha pili.. Kiukweli sijafurahishwa nayo hata kidogo.. Na matokeo hayo yakanipa sababu ya kufikiria matokeo yake ya...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Waziri wa Utalii na Maliasili Dr. Hamisi Kigwangalla katika ziara ya kikazi akiwa na Mawaziri wengine wanne kushughulikia migogoro ya wakulima na wafugaji amesema; "Saa 5:30 usiku huu ndiyo...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Wadau nimestushwa sana usiku huu kwa kugundua Maana JF mwenzetu #MwanaHaki amefariki, nini kilimtokea? Je kulikuwepo na TANZIA yoyote.? Nimeweka Post yake ya mwisho hapa.
2 Reactions
208 Replies
23K Views
Habari wakuu, Nmeshangaa sana watu wa kwenye basi wanajifanya madoctor, hawataki kuandika majina yanayosomeka,nauli utokako, uendako. Hasa makonda wa nyanda za juu kusini. Jirekebishe kwa hilo...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Naomba tuambizane ukweli hapa, Kutokana na shida mbalimbali za dunia binadamu hukopa na kukopeshwa! Kimbembe huwa hutokea wakati wa kudai au kudaiwa! Kwa jinsi mambo hayo yalivyo magumu kuna watu...
3 Reactions
67 Replies
5K Views
Aliingia breed tarehe 4hadi tarehe nane mwezi wa 12,alipotoka karibu kila siku tunakutana kimwili bila kinga, mzunguko wake ni siku 33,manaane ovulation ilikuwa tarehe 24mwezi uliopita, tangu...
0 Reactions
5 Replies
846 Views
Zamani zile wakati YESU KRISTO, Yesu aliwalisha mara kadhaa watu zaidi ya elfu tano(5,000) bila kuhesabu wanawake na watoto,. Lakini katika zamani hizi za kina Nabiii,, mtume nk, Kinyume...
0 Reactions
2 Replies
557 Views
Natumai wote mu buheri wa afya pole kwa wale wanaosumbuliwa na mara Mungu awafanyie wepesi. Tukutane madereva tuliowahi kucheza kichapo toka kwa raia na abiria. Mimi nakumbuka ilikuwa mwaka 1993...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
1.Kassim Majaliwa . Hakika Waziri Mkuu anastahili pongezi zisizozidi kifani ni kiongozi mstaarabu mwenye weredi na mpambanaji. Amefanya na amesimamia objective na responsibilities zake ipasavyo...
1 Reactions
66 Replies
7K Views
Kumekuwa na utaratibu wa nchi yetu kupeleka askari nchi jirani za Congo pengine hata na Sudani kushiriki Operesheni za kulinda amani ikiwa ni dhumuni la kuitumikia nchi ndani na nje ya mipaka...
1 Reactions
0 Replies
692 Views
BADO UNAZUNGUSHA BAHASHA YENYE VYETI NA CV? Pengine ni vigumu sana kutenganisha suala hili na siasa, lakini si nia yangu hapa kuzungumzia siasa! Lengo ni kukuamsha wewe uliye ndotoni kwamba siku...
22 Reactions
62 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…