Ngara. Wanafunzi 200 wa darasa la tano na saba katika Shule ya Msingi Ruhuba Wilaya ya Ngara mkoani Kagera wanatumia chumba kimoja kilichotenganishwa na jamvi kusoma wakiwa wamepeana migongo...
Hivi karibuni kumekuwa na malumbano kati ya uongozi wa kampuni ya kukobolea kahawa ya moshi Tanganyika Coffee Curing Company(TCCCO) na baadhi ya vingozi wa vyama vya ushirika Kilimanjaro kuhusiana...
Ndugu zangu Nyamadoke ni mtaa uko kata ya Nyamhongolo. Wilaya ya Ilemela katika jiji la Mwanza.
Huu ni mtaa wa aina yake katika jiji la Mwanza. Ni pekee kwani hauna umeme, maji wala barabara ya...
Inawezekana kuna magulio/ minada ya wiki/ juma hapa Tanzania inayoleta faida kwa wote - wauzaji, wanunuzi, na wapita njia endapo inafanyika mbali na barabara kuu au hata zile zisizo kuwa kuu...
Ndani ya kila familia, katika vizazi vitatu mpaka nne, yaani kutoka kwa babu,baba, mwana(wa kiume) na mjukuu (mjukuu wa kiume) huwa ni lazima atokee ndugu mmoja aliye barikiwa kwa mali na busara...
Mwili wa mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Zainab Omar umekutwa karibu na shamba la mahindi lililopo eneo la Nyamalembo Mjini Geita, huku kukiwa bado hakijafahamika chanzo hasa cha kifo...
Nimekuwa nawaza katika kuendelea kufanya mambo makubwa na ya kuinua uchumi wa chini walau basi kufikia wa kati!
Tumekuwa na matukio mengi ya hapa na pale ambayo kwa ujumla wake ili kufikiwa...
Wakuu nawapa hi!
Licha ya POLISI/Serikali kutoa elimu kwa jumbe fupi yaani sms bado matapeli wanazidi kutuma sms wakitaka kufanyiwa miamala.
Hii inaonyesha kuwa bado kuna kundi kubwa la watu...
Nianze na salam kwa wote mtakaoguswa na uzi huu!
Tanzania kuna haya makampuni mawili maarufu sana na yamekuwa yakitumiwa na makampuni makubwa ya simu kama vile Vodacom Tigo na mengineyo mengi...
Huwa nafatilia Clouds Media sana hasa vipindi vya PB, XXL, Jahazi, Amplifaya, Sports Extra, Ala za Roho na Njiapanda.
Watangazaji wa hivi vipindi wana kitabia cha kujiona wamefanikiwa sana...
Arusha ni mji wa kitalii.
Ila usafiri wa umma unatia kinyaa.
Haiwezekani jiji la kitalii na 'vibrant' kama Arusha wanatumia 'vifodi' vilivyochoka na vichafu kiasi hiki.
Stand ya Kilombero ni...
Naam katika kuliangalia suala la Tundu Lissu ni vema tukalinganisha dereva wake na dereva wa Chacha Wangwe kijana Mallya.
Jambo moja kuu ni kuwa kutokana na maelezo yao wote baada ya matukio wote...
Kama Kichwa cha Habari Kinavyojieleza!
Kama nakumbuka sawa Kujifungua Wamama Waja Wazito ilikuwa bure kabisa, lakini mambo yamebadilika Wandugu sasa hivi kwa Kujifungua kwa Njia ya Kawaida ni...
Hiki kizimba kipo pale morroco opposite na ofisi za Airtel kituo Cha kuelekea town barabara ya AH MWINYI yaani Ni zaidi ya miezi sita au mwaka Sasa hiki kizimba kimejaa uchafu na wahusika...
Wakuu naombeni mwenye kujua upatikanaji wa passport ya muda maana nina safari ya kwenda msumbiji kukaa mwezi 1. Naomba pia kujua na vigezo vyake maana naona passport kubwa itanichelewesha
Sent...
Siku ya Jumamosi Tar 26 January 2019 Polisi Katika Kijiji cha Mganza Kata ya Kanyonza Wilaya Kakonko waliua watu 8 waliodhaniwa kuwa ni majambazi.
Polisi walipokea taarifa ya kutekwa kwa mtoto...
OFISA wa Kikosi cha Kudhibiti Vitendo vya Ujangili (KDU) Kanda ya Kaskazini, Said Mkeni amejikuta matatani baada ya kubainika kuvujisha siri ya mikakati inayopangwa ili kukabili vitendo hivyo, kwa...
Wadau hivi hii Kampuni ina tatizo gani haswa kuhusiana na mfumo wao wa malipo kwa njia ya kadi? Kwa sasa wateja tunashindwa kutumia kadi zetu kwa sababu tusizozielewa. na hata wafanyakazi wao...
Jeshi la Polisi Kanda ya Dar linamshikikia Emmanuel Joseph Magoti kwa kukutwa na sare za JWTZ ambazo ni suruali 2, koti 1 na Tshirt 1.
Bw. Magoti ambaye alikamatwa maeneo ya Mbagala baada ya...