Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,455
- 5,326
Wadau hivi hii Kampuni ina tatizo gani haswa kuhusiana na mfumo wao wa malipo kwa njia ya kadi? Kwa sasa wateja tunashindwa kutumia kadi zetu kwa sababu tusizozielewa. na hata wafanyakazi wao waliopo vituoni ukiwauliza jibu la ni moja tu.."Sijui" Binafsi naona kama ni mbinu za watu wachache kufanya mfumo wa malipo uwe wa "Cash" ili iwe rahisi kwao kuchota fedha. Nashauri na kupendekeza hili suala lichunguzwe na vyombo husika. Dunia ya leo usafiri wa Umma unatakiwa uendeshwe kisasa haswa katika mfumo wa malipo.
Naomba kuwasilisha.
Naomba kuwasilisha.