Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa mujibu wa Hellen Simba Mkurugenzi wa Taasisi ya Haki za Binaadamu ametaja sehemu zinazoongoza kwa mambo ya kishirikina ambzo ni simiyu Shinyanga Bukoba Mwanza Tofauti na fikra za wengi...
4 Reactions
116 Replies
42K Views
Ukipiga maesabu ya mwaka 2013 hadi sasa 2019 utagundua ni kama juzi tu, basi ndivyo ilivyo kwa bwanamkubwa kumaliza muda wake ni keshokutwa tu maana siku hazigandi Mdogo wangu DAB angalia sana...
31 Reactions
111 Replies
13K Views
Jamani naomba wazoefu wa safari waniambie wapi maisha ni mepesi na unaweza kutengeza fedha kwa kufanya biashara ya kawaida wa kulinganisha Dar, Lusaka,Lubumbashi na Harare? Tushauriane
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Siku ya Saratani duniani husherekewa tarehe 4 January kila mwaka na hii husaidia kujenga uelewa wa kuhusu ugonjwa huo na kuupa kipaumbele kwenye maswala ya afya kidunia. Watu milioni 9.6 hufa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Radio One - Irine Isaka Hakuna FAO La Kujitoa Amesema PPF ilikuwa na fao la kujitoa lakini kwa sasa limesitishwa, ila NSSF kwenye mafao yao hakukuwa na fao la kujitoa kwa maana hiyo walikuwa...
3 Reactions
122 Replies
17K Views
Sasa hivi ni saa 01:06, dakika kadhaa zilizopita imesikika milipuko mikubwa miwili imepishana kwa dakika kama 5 Huku watu hawalali jamani kunani?
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Salaam waungwana Leo naomba niweke wazo langu rasmi hapa jukwaani. Ni kihusu haya mauaji yanayotokea huko mkoani Njombe. Nianze kwa kusema haya yafuatayo. Miezi ya karibuni huko Mkoani Arusha...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kesho tarehe 4 Februari ni siku ya kansa duniani. Watanzania wapatao 55,000 wanapata ugonjwa wa kansa Tanzania. Lakini wanaojitokezakwa matibabu ni 13,000 tu. Na wengi wanaofika hospitali wanakuja...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ninavyoandika uzi huu nipo stendi ya Nyegezi mkoani Mwanza ndani ya basi la Kisibo, yaani Wachungaji wanapishana ndani ya basi wanahubiri injili kwa kupayuka mithili ya watu ambao wanatumwa! Mara...
9 Reactions
37 Replies
5K Views
Hivi karibuni nilitembelea kwa mara nyingine pande hizo, hali siyo kama nilivyoiacha. Mabadiliko ni makubwa. Wenye kupanda bodaboda wamepungua sana ktk eneo la makao makuu ya Wilaya. Baiskeli ni...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Wenye facts, data, evidence zitakazonishawishi kukubali nikichague chadema kishike dola 2020 . Na evidence hizo ziwe ni zile za kuwaletea wananchi maendeleo. Hata kwa fedha za mfuko wa jimbo...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
NAIBU Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo amesema serikali inazipitia leseni zote zilizotolewa na wizara hiyo kwa ajili ya utati na wawekezaji na ambazo hazijaendelezwa zitafutwa. Nyongo ametoa...
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Mkazi wa Kijiji cha Makole aliyetambulika kwa jina moja la Ally ameuawa kwa kukatwa mapanga. Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Edward Bukombe amethibitisha kutokea mauaji hayo yaliyofanyika kijiji...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
  • Closed
Nimegundua mada yoyote au Uzi ukitolewa ukawahusisha jamii ya kistaarabu ya kiarabu uwa wanapingwa sana kwa maneno makali sana na kashfa. Hata km ukizungumzia mambo ya heri mfano waarabu...
7 Reactions
107 Replies
14K Views
Dodoma. Mbunge wa Mchinga (CUF), Hamidu Bobali amesema atajiuzulu ubunge ikiwa mbunge au waziri atathibitisha kuwa wakulima wa korosho hawalipwi Sh2,640 badala ya Sh 3,300 kwa kilo moja kama...
13 Reactions
28 Replies
13K Views
Hoja yangu nimeileta nikiwa na maana kuwaomba wananchi wenzangu tuboreshe vya kwetu. Kwa mfano matunda mengi yanaoza, kwanini tusifikirie kwenye mitaa kusiwe na vinywaji vya kiwandani bali taifa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mengi yanasemwa kuhusu ziara za nchi mbalimbali, mahojiano na vyombo vya habari vya kimataifa na mikutano mbalimbali anayofanya Mh. Tundu Lissu huko ughaibuni ni matokeo ya kushindwa kwa jaribio...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Tanzania Spokesperson: New Political Parties law to Enhance Political Governance, Party Democracy By Jerry Omondi - February 3, 20190149 Tanzania’s parliament has passed amendments to...
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia,wazee na watoto, Ummy Mwalimu amesema kila mwaka nchini wagonjwa wapya wa saratani takribani 55,000 hugundulika huku asilimia 52 ya wagonjwa hufariki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Idara ya uhamiaji mkoa wa Pwani imekamata wahamiaji zaidi ya mia tano na mawakala wao katika operesheni iliyofanyika wilayani Bagamoyo na maeneo mengine kati ya Januari mosi hadi sasa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…