Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wana jf habari zenu? Huyu mwamba hapo pichani inadaiwa ni tapeli wa kutisha picha zake zimezagaa sana mitandaoni. Inasemekana mwamba hukodi magari na kufoji kadi kisha kuyauza kwa bei chee kisha...
15 Reactions
98 Replies
2K Views
Natamani kila Mtanzania aelewe namna ambavyo viongozi wetu wanatuchukulia Wanatuchukulia kama mazwazwa,mapwoyoyo flani yasiyotofautisha mambo serious na ishu extra yaani za burudani kama mpira...
6 Reactions
21 Replies
372 Views
Jioni ya tarehe 25 Mei 2003, uwanja wa ndege wa Quatro de Fevereiro huko Luanda, nchini Angola, ulikuwa kimya kama kawaida. Lakini kimya hicho kilivunjika ghafla pale ndege kubwa aina ya Boeing...
7 Reactions
12 Replies
294 Views
Kikawaida kwenye maisha watu tunategemeana Iwe kwenye afya au ugonjwa, kuna muda kila mmoja wetu huhitaji watu. Kuna msemo unasema watu ni mtaji Lakini utakuta wengine wanasema, Mimi nipo...
16 Reactions
111 Replies
1K Views
UKOMAVU NI MTAZAMO WA AKILI, SI UMRI. HIZI HAPA DALILI ZA MTU ALIYEKOMAA! • Haogopi kuwa peke yake. • Anatambua kuwa pesa siyo mbaya, ubaya ni kukosa pesa. • Anajua kuwa Nafsi inaweza kuwa...
3 Reactions
4 Replies
100 Views
I don't have much to to talk but Hopes ndio always zinaleta maumivu. Ngoja nikale zangu bia.
9 Reactions
100 Replies
766 Views
👨🏾 Wewe: "Nimenunua gari jipya leo!" 👨🏾‍🦱 Rafiki: "Hongera sana bro! 🔥" (Hapo rafiki bado anapiga hesabu kali nauli za bajaji.) 👩🏽 Wewe: "Nimepandishwa cheo kazini." 👩🏽‍🦰 Rafiki: "Wow...
3 Reactions
7 Replies
175 Views
Kuna ongezeko la kutisha la matukio ya watoto wa shule kupotea wakati wa kwenda na kurudi kutoka shuleni. Wazazi, walezi, walimu, waendesha boda boda, viongozi wa bodi za shule na jamii kwa ujumla...
1 Reactions
1 Replies
130 Views
Maisha si tamthilia ya kuvutia iliyoandaliwa ili ikufurahishe. Si mchezo wa kuigiza unaokupa nafasi ya kuangalia kwa mbali, ukijifariji kuwa mambo mazuri yatakujia kwa sababu tu upo. Maisha ni...
21 Reactions
16 Replies
1K Views
VIGEZO: Asizidi 40. Asiwe mke wa mtu. Asiwe askari/mjeda, etc Makebo makubwa au madogo sijali, cha msingi awe cha utundu kitandani
3 Reactions
23 Replies
249 Views
1. Nimezikuta hizi stori mahali fulani, yaani mwanamke hatakiwi kujua chochote kuhusu mali zako 2 .Ukizeeka atakuacha hapo nyumbani aende kuishi Kwa watoto wake 3. Ukifikisha miaka hamsini...
1 Reactions
18 Replies
289 Views
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPPC), David Kafulila amesema kitendo cha Rais wa Marekani, Donald Trump kuja na sera za kusitisha baadhi ya misaada kwa nchi...
1 Reactions
3 Replies
789 Views
👉Warumi 5:8 Yesu alikufa kwa dhambi zetu 👉Yeremia 31:30 Kila mmoja atakuja kwa kwa dhambi zake 👉Ezekiel 18:20 Dhambi ya mwana hataibeba baba na dhambi ya baba hataibeba mwana
4 Reactions
21 Replies
275 Views
Anonymous
Natoa rai kwa mamlaka husika kufuatilia hali mbaya ya miundombinu ya choo katika stand ya Bweri Musoma. Vyoo hivyo vimekuwa kitishio kwa afya na usalama wa watumiaji kutokana na uchafu na ukosefu...
1 Reactions
3 Replies
150 Views
Anasimulia: Haya! Sasa leo nimekuja sasa niwape story kuhusu haya mapengo yangu. Na watu wengi wamependa sana kuulizia kuhusu ajali, sijui nini na nini. Guys, kuna time nilikuwa naona kama...
3 Reactions
7 Replies
224 Views
Nimeona hii niilete kwenu Kama unajijua wew ni mfanyabiashara unapokea malipo kupitia lipa namba ya VODACOM haupo sehem salama Mm Leo nimepata mteja kutoka Moshi kanipa oda kalipia 60000...
13 Reactions
28 Replies
773 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika kipindi maarufu cha Mada Kuu kinachorusha na kituo cha runinga cha Utangazaji cha TBC, Kafulila...
15 Reactions
174 Replies
6K Views
Majuzi katika pita pita zangu mtandaoni nikaona tangazo la viwanja Manispaa ya Kigamboni huko Pemba Mnazi kuwa Kuna viwanja wataanza kugawa na blaa blaa kibao. Basi bwana nikaona kama fursa...
1 Reactions
8 Replies
181 Views
Wanabodi, Hii ni ile the JF Advantage of "Be The First To Know", kuna habari njema kutoka Vatican City, ile sala ya Litania ya Bikira Maria ambayo huwa inasomwa kwenye Jumuiya Ndogo Ndogo zote...
2 Reactions
7 Replies
192 Views
Wanajukwaa habari! Leo nimetakiwa kusafiri kuelekea Mikoa ya kusini na Kampuni ya Basi Maning Nice. Ratiba ilionesha tutaanza safari saa 3:30 Asubuhi, ghafla wakabadilisha muda hadi saa 4:00...
1 Reactions
5 Replies
117 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…