Makabidhiano ya boti ya kisasa kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa ajili ya kuimarisha shughuli za ulinzi na usalama katika mwambao wa Ziwa Tanganyika, hatua inayolenga kudhibiti vitendo vya...
Vurugu zimeripotiwa kutokea katika Manispaa ya Kigoma Ujiji baada ya ajali iliyohusisha Dereva wa bodaboda kugongwa na gari katika Mtaa wa Shirika.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, tukio hilo...
Jeshi la Polisi nchini ina kitu cha kujifunza kutoka kwa Polisi wa Kenya baada ya kuwatuliza waandamanaji kwa kuwaambia "“Tumewaskia, na hatuko hapa kuumiza yeyote. Nyinyi ni watoto wetu, our...
Ninajua kuwa upo gerezani kwa sasa, lakini naamini hutaliruhusu gereza kuingia moyoni mwako. Ni kwa sababu hiyo basi, nimechukua hatua hii nikiamini kuwa hata kama hutakuwa na simu gerezani...
My Take
Watu wanafunga ndoa harafu wanavunja ndoa Sasa nini maana ya kuchangisha watu?
https://www.instagram.com/p/DZCeSLvCRhz/?igsh=ZnJ5Mml3Zzd6bmt2
Itungwe sheria ya lazima
============
Waziri...
Hii Dunia Kuna watu wanapitia matatizo makubwa sana hasa wanawake. Kuna jirani yangu mmoja aliwahi kunihadithia mkasa mmoja hivi..
Yeye alikutana na mwanaume wa kiarabu akatongozwa akamkubali...
"Wake zetu wanafundishwa namna ya kuja kutushambulia ndani ya familia. Ukisikia vipindi vyote, mwanamke ambaye amekubali kwamba, 'Mimi mume wangu acha atafute, mimi acha nikae na watoto, nilee...
"Mhe. Mwenyekiti, huwezi kuwa umeishi na mwanamke ndani, anakusingizia ujauzito unaolea miezi tisa. Una—anazaa mtoto, unamlea mtoto anafikisha miaka kumi, baadaye mnakombana kidogo anakwambia...
hii stori nimekuwa nikizisikia mara nyingi lakini mpaka leo sijawahi kuamini moja kwa moja. Simba ni mnyama mwenye nguvu, kasi, makucha na meno ya kutisha. Hata wawindaji wa kisasa wenye bunduki...
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus (Baba Levo) akichangia hoja bajeti ya Wizara ya maendeleo ya jamii leo Juni 1, 2026 Bungeni Dodoma
"Huwezi kuwa umeishi na mwanamke ndani, anakusingizia...
Kwa mtazamo wangu ningelionelea ni wakati sasa serikali na wizara husika zikaanza mkakati wa kumiliki kiwanda chake cha cement ili serikali iweze kubadilisha mfumo wa utengenezaji wa mabarabara...
Kijiografia nchi yetu ni kubwa sana na ukubwa huu unapelekea kuongezeka kwa gharama za maisha hasa kwa watumishi wa Umma
Ofisi ya Rais Utumishi mnachofanya sio kizuri ni kuongeza gharama zisizo...