S skinless Member Joined Aug 16, 2023 Posts 72 Reaction score 112 Jun 1, 2026 #1 Habari wananzengo, Nataka kusafirisha mzigo kwenda Namibia kwa njia ya basi/gari maana ni kama kilo mia sita hivi, je nafanyaje? Msaada tafadhali
Habari wananzengo, Nataka kusafirisha mzigo kwenda Namibia kwa njia ya basi/gari maana ni kama kilo mia sita hivi, je nafanyaje? Msaada tafadhali
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 17,611 Reaction score 21,291 Jun 4, 2026 #2 Sema mzigo uko wpi? Nakule unashuka wapi? Kazi ni kipimo cha utu