Mimi ni mkazi wa Mbeya Mjini, katika eneo la zebra ya Kabwe. Kwa kweli tunakumbana na changamoto kubwa sana katika eneo hili.
Kila siku watu wanapokuwa wanavuka zebra, madereva wa bajaji wanakuwa...
Wakuu nimeangalia video na picha kadhaa wazee wakiwa kwenye ndege kuishangilia Serengeti Boys kwa gharama za serikali. Hii sikubaliani nayo kabisa. Hawa wazee kwenye ajira na uongozi hawaachii...
Unajua kwamba watu waliodharauliwa sana katika nyakati fulani za maisha, hubaki na kumbukumbu inayowafanya watafute heshima na kuthaminika kwa namna yoyote. Hujawahi kuona watu waliozaliwa kwenye...
Wakuu,
Kwa hiyo siku hizi matapeli mnatapeli wakuu wa mikoa.
Huyu baba alikuwa amempigia Mkuu wa Mkoa wa Tabora Whatsap kisha akakata. RC alivyompigia tena akakata kisha akamtumia message...
Sumu ya nyoka haikuumbwa kwa ajili ya kuwaumiza watu. Ni kimiminika cha thamani kubwa kwa nyoka ambacho hutumika kwa ajili ya kuishi. Nyoka hutegemea sumu hiyo kuwinda mawindo yao, na kwa kuwa...
Mmiliki wa Shirika la Ndege Nchini Tanzania la Precision Air, Michael Ngaleku Shirima, ameaga dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya AgaKhan, Jijini Dar es Salaam
===========...
Ufafanuzi na hatua zimechukuliwa na mamlaka husika ya maji muda mfupi baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kuandika “Wakazi Keko Juu tuna shida kubwa baada ya Mkandarasi kukata mabomba ya...
Msemaji Mkuu wa Serikali, ambae pia ni Katibu Mkuu, Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo ndugu Gerson Msigwa katika Taarifa yake ya Msemaji Mkuu wa Serikali ameeleza kuwa kukamilika kwa...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ni miongoni mwa taasisi zinazoshiriki Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Kitaifa yanayoendelea katika Viwanja vya Ukumbi wa Jakaya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amekemea tabia ya baadhi ya maafisa rasilimali watu (Human Resources) kuwachongea watumishi wa...
Licha ya serikali na sera ya elimu nchini kusisitiza umuhimu wa mtoto kupitia Darasa la Awali kabla ya kuingia Darasa la Kwanza, pamoja na jitihada za kuboresha miundombinu ya elimu hiyo, bado...