Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna member alileta uzi humu kwamba maji yanasumbua Mwanza, na MWAUWASA wakaja na kiteteo kwamba umeme unasumbua na wako wanashirikiana na TANESCO kusolve. MWAUWASA: Kukosekana kwa huduma...
2 Reactions
1 Replies
132 Views
karibu kila mtu unaekutana naye hapa jamiiforum, kazini au mtaani kila mmoja ana vita yake ya afya au akili anayoipigana kimya kimya. Wengine utaona wako sawa wanacheka, wanapiga stori, lakini...
4 Reactions
7 Replies
218 Views
Nimekwama Bukoba. Nshomile wamejaza ndege zote kwa siku kadhaa zijazo.! Maprofesa na Ma Dokta wanarudi Dar baada ya end of the year holidays! Tutajuta kwenda huko! Ngoja nipande Katarama Bus πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜
5 Reactions
15 Replies
341 Views
Napenda kujua sababu za kuhairishwa mkutano wa Mwalimu Mwakasege siku ya leo pale mjini Morogoro.
2 Reactions
7 Replies
212 Views
Kwa muktadha wa post hii wahusika ni Watanzania wa asili pekee, bila kuhusisha Watanzania wenye asili ya kuhamia kutoka nchi nyingine (waarabu, wahindi, wachina, wasomali, n.k) Unapo observe...
10 Reactions
65 Replies
1K Views
Kwako wewe uliyefanikiwa labda kupata ndoa bora,kupata maisha mazuri,kufanikiwa kupata kazi nzuri, kufanikiwa kuwa na biashala, kufanikiwa kuwa na gari nzuri na hata namna ya kuishi n.k ebu...
1 Reactions
3 Replies
94 Views
Katika kipindi hiki ambacho raia wengi wa kigeni wanakumbana na changamoto mbali mbali za kiusalama hapa Kaburu, kutokana na fujo zinazoendelea nchini. Baadhi ya nchi zenye utu, na upendo kwa...
6 Reactions
4 Replies
162 Views
Kuna kitu watu wengi huwa hatukikubali. Ukimweka mtu moyoni kwa chuki, hasira au maumivu aliyokutendea, mara nyingi si yeye anayeteseka bali ni wewe mwenyewe. Fikiria mtu anayetaka kupanda mlima...
7 Reactions
13 Replies
231 Views
Mwandambo tokea kuzibitiwa kaanza kuwa chizi wa kusifia CCM. Kwa kile kilichomo kwa RC wa Tabora ni kama tuseme anataka kutengeneza kumuiga aliyetoka na kuonesha Tabora kama nini. Maana kuita...
2 Reactions
5 Replies
203 Views
Nil nyakati za kumkumbuka Hayati Magufuli kwani ndiye aliyeletwa na Mungu kulikomboa Taifa la Tanzania, ni wakati pia wa kumkumbuka Sheikh Yahaya aliyesema anaona mwanamke akitawala na baada ya...
0 Reactions
8 Replies
116 Views
Anonymous
Habari kuna kanisa lipo kigamboni darajani mtaa wa nyerere karibu na daraja la Nyerere, kanisa hilo limekua kero sana kwa sisi wakazi wa eneo hili. Wamekua wakifanya mazoezi ya kwaya hadi usiku wa...
2 Reactions
28 Replies
408 Views
Bwana Juma ni Mkulima Bora wa Zao la........ A. Mparachichi. B. Parachichi. C. Miparachichi. D.Maparachichi.
1 Reactions
10 Replies
168 Views
Yalikuwa Maombi ya nguvu kutoka kwa Mchungaji mmoja wa Huduma ya Mwalimu Mwakasege aliyelia machozi na Waumini Wote ili Mungu wa mbinguni ayalinde Malango ya Nchi yetu Mkutano wa Injili wa...
47 Reactions
215 Replies
17K Views
Tafakarini wenyewe kwa umakini na usije shangaa wachina wa marehemu waka wakataa kuwa sio hawa
5 Reactions
45 Replies
639 Views
Ipo hivi mm ni fundi electronics Kuna wakati naangalia mfano fundi wa Kenya akiunda amplifier anauza Kwa ksh3,500 Hadi 4,000 Lakini Mimi nikisema niunde amplifaya kama hiyo hiyo najikuta namtumia...
3 Reactions
0 Replies
132 Views
Kiukweli haya maeneo mawili ya Oysterbay na Masaki ndio yanabeba taswira ya nchi kwa sababu ofisi nyingi za kidiplomasia na makazi yao zipo maeneo hayo. Mashirika na taasisi karibu zote za...
8 Reactions
54 Replies
2K Views
Mradi wa Kisima Cha Maji wenye thamani ya zaidi ya Milioni 585 Kirua Vunjo kusini Wilayani Moshi vijijini Mkoani Kilimanjaro. === Wananchi wa Kirua Vunjo Kusini, Wilaya ya Moshi Vijijini mkoani...
9 Reactions
18 Replies
341 Views
Hiki kipande cha Barabara ya Sam Nujoma kutokea Mwenge hadi Mlimani hadi kule karibia na simu2000 why hakikamiliki? Kipande cha Mwenge Tegeta jamaa sijui wanajenga vipi yaani nashindwa kuelewa...
11 Reactions
37 Replies
634 Views
Mmeshindaje viongozi? Naomba msaada kujua kama inawezekana kwenda NIDA na card yangu iliyofutika na nikaondoka na NIDA yangu siku hiyo hiyo hata kama nikulipia maana wengine nasikia ukienda...
9 Reactions
178 Replies
2K Views
Hakika huyu jamaa aliniheshimisha sana kwenye kuzinesa.. mliotazama The Raid hakika hamkupoteza muda wenu.πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜‹ Hivi angekuwa Donnie Yen angeweza kucheza mziki wa huyu gentleman?
6 Reactions
27 Replies
472 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…