Yaani, viwanja saa nne asubuhi vimetangazwa vinaamza kuuzwa, Mimi nisha log in dakika 10 kabla.
Viwanja vikaachiwa watu wachague nakiona kabisa kiwanja hiki hapa kimefunguka nikiendelea mbele...
Naomba kuwasilisha kero kuhusu changamoto ya upatikanaji wa maji katika eneo la Bulale, Mwanza.
Wananchi wa Bulale tumekuwa katika hali ya ukosefu wa maji kwa takribani miezi mitatu sasa. Licha...
'Wamkamate Kihongosi akaieleze Polisi kikao cha siri cha CHADEMA kilikaa wapi kupanga vurugu' Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ameyasema haya Juni 17, 2026, kupitia mkutano wake na waandishi...
SUMAJKT imekabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi millioni 50 katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo, Kitengo cha Mama na Mtoto, ikiwa ni sehemu ya mchango wake katika kuboresha...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Serikali itaendelea kusimamia utekelezaji wa Sheria dhidi ya vitendo vyote vinavyokiuka maadili, mila na desturi za Kitanzania, ikiwemo...
Naomba mamlaka husika zifuatilie na kujiridhisha kuhusu uhalali wa maegesho ya malori makubwa aina ya semi-trailer katika eneo la makazi lililopo Folkland, Lumo, Vituka, karibu na Nyumbani Lodge...
Eneo la Sinza C, hususan karibu na Chuo cha Sheria, ni miongoni mwa maeneo yanayokumbwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji.
Wananchi wanalalamikia ukosefu wa maji wa mara kwa mara, huku...
Tunaomba mamlaka husika ziingilie kati kuhusu mradi wa maji uliotekelezwa katika Kijiji cha Losikito, Kata ya Mwandeti, Wilaya ya Arusha DC, ambao ulitengewa bajeti ya takribani Shilingi bilioni...
Mnamo Mei 2016, kampuni ya vipodozi ya nchini China iitwayo Shanghai Leishang ilirusha tangazo la kidijitali la Sabuni ya kufulia wa Qiaobi, ambalo lilishtua ulimwengu mzima kwa ubaguzi wa wazi wa...
Katika mazingira ya kazi ya leo, ujuzi wa Microsoft Office na Excel si jambo la ziada tena bali ni hitaji muhimu kwa wafanyakazi, wafanyabiashara na wanafunzi.
Changamoto kubwa kwa wengi ni...
Kombe la dunia linaendelea watu wengi wamekuwa wakishangaa vile viwanja vya marekani vilivyokuwa vikubwa na vizuri
Na hapo pia kuna viwanja vingi sana vya college ambavyo havijatumika mfano...
Tume ya TEHAMA (ICTC) inatarajia kufanya hafla ya utoaji wa Tuzo za TEHAMA (TEHAMA Awards 2026) mnamo Julai 15, 2026 katika ukumbi wa The SuperDome uliopo jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo...
Kwenye katika mpya sio Raisi tu kiongozi yeyote ambaye ataonekana alitumia mamlaka vibaya ashtakiwe na kama kufungwa afungwe .
Wenye nafasi za uongozi wekeni data vizuri kuna mda itafika katiba...
Ladha ya maisha unaipata kwenye nini?
Watu husema bila afya, maisha hayana ladha
Wengine husema bila pesa, maisha hayana ladha
Kuna wanaokunywa pombe wakiamini ndiyo njia ya kuonja ladha ya...
Mwezi January mwaka huu 2026, kampuni ya mabasi ya mwendokasi MOFAT ilituma ombi kwa LATRA kwamba walikuwa wakipata hasara ruti ya Mbagala kutokana na uwepo wa bajaji, bodaboda na daladala. Sisi...
Katika Mkoa wa Mwanza, Kata ya Kirumba, kuna kituo cha afya kinachoitwa Optimisim Dispensary ambacho kinakabiliwa na malalamiko makubwa kutoka kwa wananchi na hata baadhi ya wafanyakazi wake...
Ripoti ya The Economist Intelligence Unit (EIU) kwa kushirikiana na mashirika ya Umoja wa Mataifa kama UN Women na UNFPA inasema kuwa ukatili unaochochewa na teknolojia na mifumo ya Akili Unde...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema kuwa, zoezi la kubadilisha tahasusi na kozi za vyuo vya kati kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha nne mwaka 2025...