Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Niliona Humu uzi maalum wa BRELA sijui kama bado UPO, hata hivyo Brela Mfumo wenu una shida ya availability na Utendaji. Tunajaribu kupiga simu zenu za Kituo cha miito Hampokei.
0 Reactions
3 Replies
144 Views
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametangaza dhamira ya kulifikisha mahakamani suala la malalamiko yanayoendelea kutolewa na watumiaji wa huduma za intaneti kuhusu bando kuisha au kukatwa kabla ya...
0 Reactions
0 Replies
93 Views
Watanzania kwa historia na kipindi cha zamani, wameamini kuwa njia pekee ya kuifanya serikali iwajibike ni kuonyesha hasira zao hadharani. Lakini je, kwa kipindi hiki, kila maandamano huongeza...
1 Reactions
1 Replies
103 Views
Tafadhali ninae rafiki anauliza ni kampuni gani anaweza akapata mkopo wa milioni 5 marejesho miezi 36 dhamana kiwanja. Yeye sio mtumishi amejiajiri. Mwenye maoni karibu
1 Reactions
17 Replies
369 Views
Cha kushangaza hata hizo heshima anazopewa kila kona nazo zinafichwa kwenye mfumo wa serikali. Kwa sasa si rahisi kujua hata CV,umiliki,jina la muhusika labda kama unatuma pesa kwenye simu. Na...
1 Reactions
2 Replies
156 Views
Kama watu wanataka kuanzisha taasisi ya atheists nchini kupigania au kufanya harakati mbalimbali za kutetea maslahi ya atheists nchini wanatakiwa kufuata utaratibu gani na watasajiliwa usajili...
2 Reactions
16 Replies
179 Views
Bungeni kuna vituko sana yani ni vilaza wa kambare matopeni. Unaposema Gen Z ni kuingamiza hata uwelewi kuna mtoto wa raisi wako na mwanao. Ulijua ni chama kipya.
2 Reactions
4 Replies
108 Views
Wana JF wenye kudadavua maana mambo ya serikali yanatumia CCM. Na yeye kauli zake kadai mpaka CCM.Kama tukiamua msumeno utumike kweli japo katiba sijui kama ni muelewa maana hata wajibu wa sheria...
1 Reactions
2 Replies
127 Views
Ili swala lipo uganda,lipo kenya na visiwani na sijajua tanzania. Ila mimi sio muelezaji mzuri kuandika ila naleta mafail ambayo tuanze kuulizana kwanza. Ina wezekana kuna nguvu kubwa ambayo...
0 Reactions
1 Replies
85 Views
AI 6 Zenye Nguvu Zaidi Unazoweza Kutumia Bure Mwaka 2026. --- AI inaweza kuongeza tija kwa kiasi kikubwa, lakini baadhi ya zana maarufu zinahitaji usajili wa kila mwezi. Ikiwa hutaki kulipia, hizi...
1 Reactions
2 Replies
129 Views
Wakuu Juni ndo hiyo inakaribia kukata tayari tumemaliza miezi sita ya mwanzo! Muda hautusubiri na umri unasonga. Huu ndio wakati muafaka wa kusimama na kujitathmini. Jikague Haraka: Zile ahadi...
0 Reactions
3 Replies
120 Views
Tuna report shida ya maji kila siku ila ndo hivo suluhu hamna takribani miezi 6 sasa Habari, mimi ni mkazi wa Goba, Mtaa wa River View, nahudumiwa na DAWASA Makongo lakini mtaani kwetu imekuwa...
0 Reactions
2 Replies
313 Views
Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter *******, amesema kuwa ni wazazi wachache wenye uwezo wa kumudu gharama za matibabu ya watoto wanaohitaji upasuaji wa moyo...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Ajenda ya udini inazidi kusukumwa mdomdo na watawala, na mara hii Ridhimoko amesukuma kete nyingine kwa lengo la kuuteka umma wa wanazuoni wa kiislamu, wataalam wa eiilimu duuniya, na mambo ya Dua...
11 Reactions
113 Replies
4K Views
Hizi project hapa mbona mmeikalia kimya.
3 Reactions
4 Replies
113 Views
Habari wana bodi. Kutokana na Anachoendelea kukifanya Trump huko USA, Nimepata tafakuri ya hapa kwetu Tz. Tuko na baadhi ya taasisi zilizo shindwa kabisa wazi wazi kutekeleza matakwa ya...
6 Reactions
35 Replies
1K Views
DFPEB1IXRZ Imethibitishwa. Tsh50000.00 imetumwa kwa J4U M-PESA tarehe 25/6/26 saa 4:38 PM. Salio lako la M-Pesa ni Tsh27,824.24. Nilikuwa naunga bundle la wiki 2 la 5000 ila cha ajabu nimezidisha...
5 Reactions
24 Replies
411 Views
AzamTv wanarusha mechi sote 104 za Kombe la Dunia kwa Kiswahili na Kiingereza. Wasomi wetu wapo idhaa ya Kiswahili kupitia Azam Sports 2HD hapo unawakuta akina Shaffih Dauda, Edo Kumwembe, Ally...
8 Reactions
49 Replies
775 Views
Shule tajwa hapo juu ipo Wilaya ya Ubungo, DSM kuna tatizo kubwa. Huenda sababu ya uhaba wa walimu au uzembe wa mkuu wa shule au mwalimu wa somo husika. Toka mwezi Januari 2026 hadi wanafunga...
6 Reactions
19 Replies
269 Views
They gave you religion to make you wait. Wait for heaven. Wait for Jesus. Wait for a paradise that never arrives. While you wait, they extract. They drill. They mine. They burn. They poison the...
9 Reactions
62 Replies
863 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…