Najua hautaelewa kwa sababu umelewa dini.
Umevaa lishuka lako hapo unashindwa kwenda nje ya box kisa tu sijui hadithi ya shemeji ya nabii hakufanya hivyo basi ni haramu
Umekaa hapo unajiandaa...
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimepata pigo kufuatia kifo cha Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoani humo, Mariam Manyangu, aliyefariki dunia leo Jumamosi Machi 21, 2026...
Kodi za wananchi zimefanya kazi, sasa tuone mabadiliko ya kweli kwenye hili.
================
Tanzania imekuwa taifa la kwanza barani Afrika kutumia Kombe la Dunia 2026 nchini Canada, katika jiji...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha anasikitika kutangaza kifo cha Ghaniya Jumbe, Mwandishi wa Habari, Idara ya Habari na Matukio, aliyefariki dunia...
Kaka Pascal Mayalla umeeleza kuhsu TRA.
Ila mda unavyozidi kwenda mimi nawazo kuhusu ufanisi wa TRA wanavyoweza kuona kila mfanyabiashara anapata faida.
kwa nini hii miradi na pesa zinazopotea...
Dhambi ni tamu - tupate habari zaidi
Dhambi ni Nini
Dhambi ni tendo, hisia, au wazo lolote linalopingana na viwango vya Mungu. Inatia ndani kuvunja sheria za Mungu kwa kutenda mabaya, au ukosefu...
Imeelezwa kuwa kuna umuhimu wa kuchukua hatua madhubuti za kuhifadhi na kulinda madini adimu aina ya Yoderite yanayopatikana katika eneo la Mlima wa Mautia, Wilaya ya Kongwa, Mkoa wa Dodoma, ili...
Malalamiko mengi na mashuuda wameeleza kuhusu urusi ilivyo wafikisha kwa udanganyifu wa ajira na mambo mengine mwisho wa siku wanajikuta kulazimishwa kupigana na ukrain.
Cha kushangaza tumeona...
Miaka hii miwili nilikuwa maeneo ya vijijini basi katika zunguka yangu huko nilikutana na wazee kadhaa huko wakiugulia huu ugonjwa uitwao Tezi dume.
Baadhi ya wazee niliongea nao Waliniambia ya...
Sisi wanaume ndio washiriki wazuri wa kwenda chooni kukojoa.
Ila wanawake unaweza kukaa naye zaidi la saa moja hata kwenda chooni uwezi kumuona.
Mfano yale mavazi wanayo vaa mpaka unajiuliza...
Baada ya kukaa na mke wake muda mrefu na akamuamini na kumuonesha account yenye kibunda hatimae mke kachota mkwanja wote na kulala mbele.
Tuweni makini wakuu.
Leo mjinga ndio anakuwa na cheo na kila kitu.
Kwa nini dotto magari kafikia kuziaki wenye elimu wakati anachokitumia kimetengenezwa na wenye elimu.
Tanzania kama mzazi kumbatia mawazo ya mtoto...
Kwanza sipo hapa kukubeza au kukutukana bali kukumbushana kama wanaume Tegemewa wa leo na kesho pia nataka kujua hasa uwezo wako wa akili upo kiasi gani kichwani mwako!
Ni kweli una elimu Ni...
kuna nchi za ulaya ukisafiri kama haujafanya booking ya hotel na hauna kiwango cha pesa cha kutosha wana ku deport back . Hivi kuna nchi ya Afrika wapo strictly hivoo
Habari
Nashauri baada ya uchaguzi inawezekana kabisa tukakaa pamoja wale walioshinda na vyama vyote vya upinzani tukaunda serikali na serikali ikawa na viongozi kutoka kwenye chama chochote ili...
Ni kauli ya mtu ambaye anakwenda kupoteza lengo ama target kiufupi ni kauli ya mtu anaekwenda kushindwa
Unapotaka kuamua kufanya jambo lolote lile akikisha unafanya kweli Leo kuanzia mwanzo mpaka...
mwaka furani nilipata ajari mbaya kidogo iliyonisababishia majeraha kadhaa nikajiuguza nikawa fiti kabisa kisha nikahandika tarehe na mwezi wa tukio hili kwenye kitabu changu cha kumbukumbu maisha...