Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ciao..! waswahili wanakwambia maisha hayako na hayatokaa yawe fair. kuna vitu sisi kama binadamu tunakua na matamanio navyo lakini no matter how hard you try unabakia tu kusema one day yes au...
4 Reactions
6 Replies
263 Views
Moja kwa moja kwenye kero yangu: Nimeona tangazo la EWURA kutangaza kuwa bei ya mafuta ya petroli na dizeli imeshuka kwa sh 96 and 151 kwa mafuta yanayoshushiwa katika bandari ya Dar-es-salaam ...
1 Reactions
15 Replies
360 Views
Kuna siku nilikaa na bibi yangu tukizungumza kuhusu maisha yake ya zamani. Nilimuuliza swali ambalo lilinifanya nisikie simulizi ambayo hata baadhi ya wajukuu zake hawakuwa wamewahi kuisikia...
2 Reactions
3 Replies
118 Views
Achen uoga ukombozi hauji kwa maneno bali vitendo 7\7 tupo kwenye reli kama tulivyopanga hakuna kulaza damu
0 Reactions
5 Replies
90 Views
Bilionea nchini mwenye manjonjo mengi anayejihusisha na online marketing Dr Ibrahim Chenza PhD King of Oviedo alipania kuishi maisha ya ndoto zake na kweli kafanikiwa. Ana msemo wake kila kitu...
3 Reactions
13 Replies
360 Views
Kuna tabia ambayo imekuwepo kwa muda, awali ilianza kama kitu kidogo kwa kufanywa na watu wachache lakini sasa hivi inazidi kuwa kama ndivyo uhalisia. Daladala za kutoka Kawe kwenda Buza (Dar es...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwandishi wa Injili yenye utafiti wa kitaalamu kuhusu maisha ya Yesu Kristo Luka, mmoja wa waandishi wa Injili nne katika Agano Jipya, ni mtu wa pekee. Tofauti na Mathayo, Marko, au Yohana – Luka...
12 Reactions
20 Replies
967 Views
Ifikie hatua tuheshimu serikali kwa nn inapotokea maadhimisho ya kitaifa uvurugaji hutokea kwa kuanzisha vuguvugu la Maandamano? Je ni mpango wa kuvuruga na kuua siku maalum za maadhimisho ya nchi...
2 Reactions
4 Replies
143 Views
Wakuu, inakuwaje? Wikiendi hii jiji la Dar es Salaam limetawaliwa na kile kinachoweza kuitwa "vurugu za makombe mtaani." Kwanza tuliona Paredi la Yanga SC la kusherehekea Ubingwa wao, likiongozwa...
1 Reactions
6 Replies
202 Views
Wote wanaotekwa wakaachiawa wanapewa code fulani fulani kwamba keep this and this Ndio maana huwezi ona Mohammed Dewji akiumia juua ya wengine wanaotekwa , awezi andika FREESOMEBODY mashart ni...
11 Reactions
72 Replies
7K Views
Anonymous
Hivi kwanini daladala za Mbande Kisewe - Buza zinaishia Tandika na mamlaka hazichukui hatua yoyote? Yanatakiwa kuishia Buza lakini hayafiki yanaishia Tandika. Hali hii imekuwepo kwa muda wa miaka...
1 Reactions
6 Replies
149 Views
Sikiliza Madini hayo ya Manju wa Muziki Masoud Masoud
0 Reactions
0 Replies
99 Views
My dear friend asikudanganye maisha ya Arusha ni kama yanakaribiana na dar sema tu tena Arusha ni cheap zaidi Dar ni pagumu kuliko arusha kimaisha Ukiangalia nyumba za kupanga city centre ni...
21 Reactions
236 Replies
37K Views
UKishafanikiwa utayaita afya ya akili. Utamwaisha mtoto wako milembe mapema mnooo Ukifika kule utagundua afya ya akili ya mwananadamu ni uwanda mpana sanaa wakati huku mtaani afya ya akili...
3 Reactions
5 Replies
132 Views
Salama wakuu Ukipita kwenye majiji makubwa hasa uchochoro unaweza Kishangaaa kukutana na vyumba vidogo sana zaidi ya 100 ambavyo vinatumika kufanya shughuli za ukahaba mfano katika jiji la dar es...
4 Reactions
26 Replies
561 Views
  • Redirect
Wakuu....! bila kupepesa macho,naziomba mamlaka kutoa onyo Kali sana wakati huu dhidi ya wafuasi na mashabiki wa Simba walipokuwa wanazomea na kutoa lugha isiyostahili dhidi ya raia namba Moja wa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Jeshi la Polisi Tanzania limefichua kuwepo kwa mipango ya siri ya vikundi vya watu wachache wanaotumia mitandao ya kijamii kuhamasisha vurugu, vifo kwa viongozi na wananchi, pamoja na mpango wa...
0 Reactions
4 Replies
136 Views
Niende kwenye Mada husika, baadhi ya Vijana wa Arusha wana aina fulani ya mwendo wanaigana hapo mbeleni inaweza kuwa ulemavu hawa Ndugu/Wadogo zetu wanasuka nywele kipindi cha nyuma ilikuwa...
7 Reactions
29 Replies
535 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…