Mimi ni mwananchi wa Mbezi Mwisho, huduma ya mwendokasi wameleta route ya kutoka Mbezi kwenda Gerezani na kivukoni, sasa hiyo huduma wanaita VIP maana yao kwamba gari halisimami popote kituo cha...
Tunaomba mamlaka husika ziingilie kati tatizo hili haraka iwezekanavyo.
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi kuhusu bidhaa zinazouzwa kwa vipimo pungufu. Kwa mfano, mtu anaponunua...
ANDIKO LA Jebra Kambole
Amri ya hivi karibuni ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni iliyotolewa tarehe 28/05/2026 na Meya wa Kinondoni Mh. Songoro Hamis Mnyonge ya kuwaondoa kwa nguvu watu...
Habarini,
Nimekuwa nikifuatilia na kuhakiki mawasiliano mbalimbali ya taasisi muhimu za serikali ikiwemo Tume ya Utumishi wa Umma na kukuta hazifanyi kazi kwa muda mrefu pasipo kufanyiwa...
Basi bwana, kuna mzee mmoja alitoka kijijini akafikia kwa wanawe Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu ya hapa na pale. Kwa kuwa familia hii ni majirani zetu na pia ni watu wa kuficha mambo yao...
Mimi ni mdau wa JamiiForums, nipo Mwanza, Wilaya ya Ilemela, Tarafa ya Nyamhongoro, Kata ya Ibwinza.
Kwa muda mrefu tumekuwa tukitegemea kisima kimoja kwa ajili ya kupata maji ya matumizi ya kila...
Kila mwaka shule nyingi za serikali huwa zinawaagiza wanafunzi kuja na vifaa kama majembe, mafyekeo, ndoo, mifagio na vifaa vingine vya usafi.
Swali langu ni hili; ikiwa maagizo haya yanatolewa...
Barabara ya Tatedo iliyopo katika mtaa wa Kunguru Kata ya Goba jijini Dar es Salaam ni kama imesahaulika, kwani licha ya juhudi zilizofanywa na wakazi wa eneo hilo, tangu mwaka 2020, mpaka leo...
Kuna haja ya mamlaka husika kutoa ufafanuzi kuhusu usalama na ubora wa nyama zinazogawiwa kwa wananchi wakati wa shughuli za sadaka au kafara zinazofanywa na wageni kutoka nje ya nchi, ikiwemo...
Majanga ya moto shuleni yamekuwa yakiondoka na uhai wa watoto wetu, mfano huko kenya ajali ya moto imeondoka na uhai wa watoto.
Sina uhakika kama mabweni ya shule zetu hapa nchini (binafsi au...
Manispaa ya Mkoa wa Tabora(sijui mikoa mingine), imeanzisha ushuru wa mabango ya biashara ambayo yapo kwenye fremu ya mfanya biashara. Yaani mmiliki wa duka la kuuza unafikia kubandika bango...
Niko napiga jalamba humu beach ya Mbezi Beach kwa kweli hizi FUKWE ni chafu sana. Ni bahati mbaya pia kwamba hizi ndio FUKWE zilizopo ukanda wenye Mahoteli ya Kitalii kama vile White Sands...
Habari wakuu,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu, kumekuwa na changamoto kubwa katika suala zima la kupanga na kununua nyumba, mashamba, magari na kadhalika.
Hawa watu wanaojulikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.