Raia mmoja wa Tanzania ametajwa miongoni mwa watuhumiwa wanne wa kigeni wanaodaiwa kupanga kusambaza silaha za kijeshi zenye thamani ya dola milioni 58 sawa na Sh145 bilioni fedha za kitanznia kwa...
Kufuatia Mjadala uliosambaa Mitandaoni baada ya kauli ya Mtumishi Rose Shaboka kuongelea kuhusu uwa na Elimu 'Degreee' na kuishia kuwa Mke wa kufua boxer na Kupika, basi Godbless Lema amesema...
Mimi ni mmoja ga watu waliokubeza baada ya talaka. Nikidhani tamaa zako zimekufanya kuachana na ndoa ya zamani na kuingia ndoa mpya na Dr. Tusamehe tulikuhukumu bila kujua upande wa pili. Kumbe...
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Wasafi Media, Nasib Abdul maarufu Diamond Platnumz, amesema utekelezaji wa Sheria ya Huduma za Habari unaweka mazingira bora ya kukuza...
Yaani Kuna watu wamekoshwa au wameopendezwa na msimamio au maelezo ya kiongozi fulani wakisiasa, Wakaona ngoja wamwekee mafuta kwenye gari yake na wampe na hela ya kula njiani yeye na wenzake ili...
Na Mwandishi Wetu.
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imezindua rasmi Mwongozo wa Kisheria wa Utoaji wa Ithibati ya Maisha kwa Waandishi wa Habari Wakongwe, hatua inayolenga kutambua...
M ninaenda Moja Kwa Moja kwenye mada ni hali ya kawaida sana Kwa sisi watanzania hususani wa hapa Dar miaka na miaka toka enzi za Nuwa Hadi sasa dawasco kuwaamini wao katika kutupatia maji safi na...
Sio kwa ubaya ila mada hapa JF zinaangiwa mpaka kuna wataalamu wa lugha wanajitokeza kutafuta kiswahili ni sahihi jambo linaro sema ukweli.
Kuna mikoa ambayo inapatikana gesi na mpaka sasa...
Mambo vipi wanajamii.
Kwa wale vijana wenzangu tuliozaliwa enzi za Nyerere na mwinyi kuna matangazo haya utakuwa unayakumbuka. Tangazo la kwanza ni lile linaloanza hivii "Tueleze siri ya...
Ciao,
Huwa inashangaza sana kukuta mtu analalamika kuwa circle yake imemtenga kwa namna moja au nyingine baada ya kuyumba kiuchumi.
Unakuta mwanaume mzima analia eti fulani sikuiz hanitafuti...
Wadau wa jf naare??
Sasa mimi napenda sana pangani , ila nasikia pangani uwizard umezidi sana,..
Lengo langu la hii post nilikuwa naombeni jamani mtu serious sana tukiacha watani wa...
Leo katika mizinguko yangu nikajikuta nimefika huko uswahilini ukonga mombasa jilani na kikosi Cha kutuliza ghasia (ffu) basi nikapaki gari yangu land cruiser lc 300 zx
Basi nikashuka kwenye...
Remi ongola aliimba "wemaaa kweli wema kumanyooooko"!.
Kabla ya kuomba kitu lazima ufikirie cha kutoa in return. Kinyume na hapo lazima nyama kwa nyama ihusike haijalishi wew ombaomba na unae...
Sihitaji salamu, katika pitapita zangu mitandaoni nikabahatika kuona hii video inayotrend baada ya tukio la show ya miaka 30 ya bongofleva kutokea sintofahamu ya mashabiki dhidi ya mjinga mmoja...
Nakumbuka miaka ya nyuma hata madereva wa magari ya polisi walikuwa wakikuta hata wamama njiani wanawabeba hadi kuwasogeza na safari yao ili kujenga ile kauli ya police is your friend, coz...